Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 48,323
- 115,323
I know that. πππ
I know that. πππ
Hahahaaa. Kwangu hakuna Umeme bana nimesikia kelele kwa jirani. πππ
Kaa hapo hapo usiondokeHahahaaa. Kwangu hakuna Umeme bana nimesikia kelele kwa jirani.
Nikae hapa Dirishani muda wote. πππ Acha hizo bana Mtoto lete Updates.
Yanga wenzio hadi mechi iisheNikae hapa Dirishani muda wote. Acha hizo bana Mtoto lete Updates.
Hahahaaaa. Itakuwa kwao Mtandao unasumbua bana. ππ
Nitakuwepo dakika zoteHahahaaaa. Itakuwa kwao Mtandao unasumbua bana.
Ila hii iko kote kote sababu najua hata jumanne kuna wengine hatutawaona humu mpaka mechi na Al Ahaly iishe.
Wacha kuteseka Mtani sababu si kila siku Alhamis. Na ndio sababu hata nyie mlivyocheza na As Vita , Al Ahly mliitakia nguvu moja kheri ya ushindi huku dhahiri mkijijua nyie ni Underdog.
Nishaichangia aisee. Vp we tayari ushachanga? ππ
Wenzio sasa hao kina King Ngwaba. πββοΈπββοΈπββοΈ
Pole sana.Ndala wanataka kuniharibia Siku! Lakini mwisho wa Mchezo itakuwa 2 - 2
ππππ
Wenzio sasa hao kina King Ngwaba. πββοΈπββοΈπββοΈ
Tutakapoondoka nazo ndio hapo utakaposhangaa Mtani.Hamuondoki na points 3 trust me
ngapi ngapi hukoKing Ngwaba upo Mtani. Haya tumeshazichukua point zetu huko.
Full Time Jkt TZ 0 - Yanga 1ngapi ngapi huko