YOUNG AFRICA & SIMBA SPORT CLUB,uso kwa uso na AHASNTE KOTOKO YA GHANA,je? Ni hshm??

LiverpoolFC

JF-Expert Member
Apr 12, 2011
11,348
3,219
12/12/2011 Mi kwangu jamani naona kama si heshima kwa YangaFC na SimbaFC kukipiga na Asante Kotoko Fc ya Ghana wakiwa kama timu moja. Si kwamba tumejishusha kisoccer? Ama ndivyo urafiki utadumishwa? Hivi siku moja kweli utasikia mahasimu wakubwa wa Jiji la London Man United & Man City wameungana na kukipiga na Barcelona FC? Mi kwangu hainiingii hata kidogo na ingetakiwa wakikipiga siku hiyo na ISOMEKE UBAONI HIVI:Yanga & Simba 0 Asante Kotoko 4 FT. TFF HAWANA TOFAUTI NA HAWA MAGAMBA WA sisiem! SOURCE: RFA!
 
CUF & FIFA WATAIKUBALI? Je? Watavaa jezi ya aina gani Kijani ama Nyekundu? Na ningependa kujua kama wale vijana wa Asante Kotoko FC wanajua wanacheza na timu mbili kwa wakati mmoja,na siku hiyo ni nani atakuwa Kocha? Ama makocha wote watasaidiana kwa nyakati tofauti? Hii kwa karne hii ya 21 hakunaga na ndiyo nasikia. Kheri hata wangepewa hata Oljoro FC wale vijana wa (JKT) na tungetemea matokeo mazuri!
 
Jaman we uliyeweka hi post ndo hujaelewa vizuri, si SIMBA na YANGA za sasa bali ni nyota wa zamani waliowahi kuzichezea hiz timu mbili haijalishi hatakama walikuwa wanakipiga nje au ndan and in addition hii timu (simba&yanga) itajulikana kama COMBAIN FC na itakuwa chini ya Abdalah king kibaden akisaidiana na Fred felix Minziro kwa udhamin wa PPF.
 
Mkuu wewe ndo hujaelewa ni wachezaji wa Simba na Yanga wanaocheza ligi kuu na sio hao wazamani unaowasema wewe.
 
sasa unafahamishwa ukweli unaukataa. lete na wewe source yako
Subiri siku ya mechi ndo utajua ukweli ni upi hamna haja ya kukupa source, kwa akili yako unatarajia Asante Kotoko watoke Ghana kuja Tanzania na wachezaji wao halafu wanakuja kucheza na wachezaji wa zamani ili iwe nini?
 
Kamanda wangu! Wewe ndiyo umepotea kbs, wachezaji gani wastaafu wa Yanga FC & Simba FC waliopo wa kuweza kucheza na mabigwa wa Ghana? Hata waza vema tu halafu tupe majibu Kamanda wangu!
 
Kamanda wangu! Wewe ndiyo umepotea kbs, wachezaji gani wastaafu wa Yanga FC & Simba FC waliopo wa kuweza kucheza na mabigwa wa Ghana? Hata waza vema tu halafu tupe majibu Kamanda wangu!
Mkuu mimi na wewe tunachosema ni kile kile labda tu hatuelewani, kwenye post yangu ya kwanza nimesema ni wachezaji wa ligi wa simba na yanga na sio hao wa zamani, jamaa ananiambia nilete source nami nimemwambia asubiri siku ya mechi ataona source uwanjani, ila kama atang'ang'ania nitamuwekea baadaye saa hivi natumia simu siwezi kuweka link.
 
Uongozi we2 ktk soccer bado ni zero kbs! Tena narudia ya kwmb bado ni 0 hawana mwamuko hata kidogo kwa WATANZANIA wapenda soccer. Vilaza kbs!!
 
Kuna tetesi yeyote ktk thread hii wajameni? Maana Mi naona bado ni batili.
 
Back
Top Bottom