You will never learn this in school

Sasa sisi kweli hatuna huo uwezo??maana mataifa mengi yameshajikwambua.

Naona kikubwa kwetu "africa" ni ubinafsi wa viongozi wetu hawa.
Ndio hicho nilichokuwa nakisema mkuu.
Uwezo upo ila nadhani wananufaika na ndio maana wanaona ugumu kufanya maamuzi sahihi.
 
Tatizo ni elimu na Pesa.
Hayo yote hayawezi kufanyika bila ya elimu bora yenye nia ya kumuamsha mtoto wa kiafrika kuhusu bara lake na uwezo wake na baada ya hapo ajue umuhimu na jinsi ya kutumia hizo rasilimali na kunyanyua uchumi.

Zaidi ya hapo hakuna kitakachowezekana.
Mimi siamini kama hizo ndio sababu, hadi mwaka 1985 Tanzania ki elimu (hasa ya kuufuta UJINGA ) tulikua ju ya China; tatizo kubwa la Africa ni uzalendo na kujitambua; lini umewahi kuona maprofesa wa Africa wakiwa Africa wamewahi kufanya chochote cha maana? Regadless wamesoma wapi. Hata wao wenyewe (maprofesa ) wanafanyaga nukuu kutoka maprofesa na madokta hata wenye degree 1 au 2 kutoka kwa weupe. Nchi hizi ni uzalendo na uvivu, baaasi, sio elimu wala pesa.
 
With all the resources in the world without the fortune of having great leaders development will remain elusive. Pragmatic leadership has led less resourceful to the apex of their growths.
 
Africa msiwe na wasiwasi kw sababu utawala wa Dunia unaenda kimzunguko atakapo tawala china mjue zamu yetu inakaribia!....safari hii haturembi tuafanya kweli wala msiwe na wasi kwanza sisi ni wengiii
 
We have varieties of resources but we dont have capital to utilize those resources. Poor plans and selfishness in some of our leaders has often been a core sources of our poverty!
Kwani hao viongozi wenye uchu ,mipango na matumizi mabaya ya madaraka wanotokea wapi? Mbinguni,America, China au wapi?SI ndio hao hao jamaa zetu,wanatokea kwenye familia zetu..

Au sisi tunasema kwakuwa hatupo kwenye Kona hyo?

Je!? Ungepewa madaraka ya uongozi ungeenda tofauti na walioongoza hapo awali?
Jibu Ni hapana,maana matatizo ya nchi za bara la Africa yanafanana

Labda kwa nchi za kiarabu zilizopo kaskazini mwa jangwa la Sahara..
Na sababu inayotutofautisha sisi na wao Ni MTINDO WA MAISHA..

Mitindo yetu ya maisha ndio imetufikisha hapa tulipo Leo,
Mitindo yetu ya maisha ndio inayozaa viongozi wabadhirifu wa Mali za Uma, ndio Inayozalisha ujinga ndani yetu,ndio inayozalisha tamaa ya kujilimbikizia Mali kiujanjajanja,mitindo yetu ya maisha ndio Inayotufanya tudharaulike, tuendelee kuwa wajinga na maskini...

Angalia jamii tunazoishi nazo km wahindi na hebu fuatilia mtindo wao wa maisha uje ulinganishe na wa kwetu,tafakari..

Nimewahi kusoma shule mojawapo inamilikiwa na wahindi,hvyo wanafunzi wa kihindi walikuwa wengi kuliko sisi weusi,
Kuna wahindi walikuwa vilaza tu darasani,ila wao wamefaulu maisha kuliko mm niliekuwa na faulu darasani,
Yote kwa sababu ya mfumo waliojitengenezea

Muhindi anaweza akawa babu,baba, mtoto wamezaliwa Tanzania,ila akaongea kihindi au kupika chakula Cha kihindi km yupo Bombay..

Tukitaka kuikomboa Africa, mabadiliko yaanzie kwenye ngazi ya familia kubadili mtindo wa maisha,lakini tusitegemee viongozi waje kuibadilisha Africa

Asanteni:
 
Sawa.. yoote hayo tunayo.. tumefanya nin kuyabadili yawe tija na manufaa kwa jamii zetu.. au ndo tumeukalia uchumi.. au akili hakuna.. utasema ohhh mzungu katupumbaza.. ohh mzungi katutawala.. bullshit.. sasa hiv uko huru.. hayo madin. Sjui ardhi sjui bahar .. unaitumiaje?.. waafrica tuna bla bla sana
Wametuzid maarifa na hii ni kawaida tu kuzidiana kwa binadam! Vita ya uchumi ndiyo silaha kubwa wanayotumia, itatuchukua miaka na miaka kuwa sawa au kuwazidi, hatukati tamaa tupo tunapambana, mfano hata viwanda vua nguo tulikua hatuna na tunalima pamba ambayo mbegu walituletea tukishailima wanaichukua lakini siku hiz viwanda tunavyo na pamba inabaki kwetu! Tutafika tu kuwa na imani! JUHUDI +MAARIFA!
 
° Africa area = 30,37 million km2
° China area = 9,6 million km2
° US area = 9,8 million km2
° Europe area = 10,18 million km2

● Africa is bigger than all of Europe, China and the United States of America together.

● But on most world maps, Africa is represented in downsize.

This is deliberately done to create the visual effect of a small Africa to manipulate, brainwash, and deceive Africans wherever they are.

- Africa has 60% arable land.

- Africa owns 90% of raw material reserve.

- Africa owns 40% of the global gold reserve.

- Africa, 33% of diamond reserve.

- Africa has 80% of Coltan's global reserve (mineral for telephone and electronics production), mainly in the Democratic Republic of Congo.

- Africa has 60% of global cobalt reserve (mineral for car battery manufacture).

- Africa is rich in oil and natural gas.

- Africa (Namibia) has the world's richest fish coastline.

- Africa is rich in manganese, iron and wood.

- Africa is three times the area of China, three times the area of Europe, three times the United States of America.

- Africa has thirty-half million km2 (30 875 415 km2).

- Africa has 1,3 billion inhabitants (China has 1,4 billion inhabitants in 9,6 million km2).

Which means Africa is SUBPOPULATED.

- The arable lands of the Democratic Republic of Congo are capable of feeding all of Africa.
And all of Africa's arable land is a cord to feed the whole world.

- The Democratic Republic of Congo has important rivers that can illuminate Africa.
The problem is that the CIA, western companies and some African puppets have destabilized DRC for decades.

- Africa is a culturally diverse continent in terms of dance, music, architecture, sculpture, etc.

- Africa accommodates 30.000 medicinal recipes and herbs that the West modifies in its laboratories.

- Africa has a young global population that should reach 2,5 billion by the year 2050.

● AFRICA IS THE FUTURE

it is as clear as a goat's🫡
Africans need to wake up
 
Tunakwama wapi?

Mchezo ulianzia kwenye Cross Atlantic Slave Trade na ujio wa dini ili kulainisha Colonization of Africa.

Kwa 70% tulijifikisha huku wenyewe kwa kukubali ufala huo hapo juu.
Hivyo visingizio vya kijinga wala havitawasaidia na chochote, hakuna nchi ambayo ktk kipindi fulani hakikuwa chini ya ukoloni.

Matatizo ya Afrika yanaletwa na waafrika wenyewe. Stori ni ndefu lakini ngoja niachie hapo kwani wanaojitambua wanaelewa.
 
Back
Top Bottom