You tube/Pdf files, why not easy to download and save?. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

You tube/Pdf files, why not easy to download and save?.

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by gervase, May 22, 2011.

 1. g

  gervase Member

  #1
  May 22, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 41
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  My phone is Nokia 3110c, with it i can download many documents bt not pdf and you tube files. Msaada please
   
 2. M

  Mayu JF-Expert Member

  #2
  May 22, 2011
  Joined: May 11, 2010
  Messages: 649
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  je unazo appl installed ktk simu yako za kusoma aina hiyo ya mafaili?
  Mfano ktk pc huwezi kufungua pdf file kama haujainstall pdf reader kwa pc yako, kadhalika huwezi kudownload you tube kama hauna software za kufanya hivyo.

  vinginevyo be more specific, unapata error gani? au simu yako imejengewa uwezo wa kusoma lakini inakataa, je youtube zina play nk
   
 3. g

  gervase Member

  #3
  May 22, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 41
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  I just use opera min google to download. No adobe or whatever. May be help on how to install adobe and other programs. Note that nipo kijijn kabsa. My only web access is through ma Nokia 3110c. Thanks
   
 4. P

  Paul S.S Verified User

  #4
  May 23, 2011
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Mkuu hebu check jibu alilopewa mwenzako katika hii forum Where can I download a free PDF reader for Nokia 3110C?, youtube sina hakika.

  Mi si mpenzi wa NOKIA,jaribu kugoogle utapata majibu zaidi, leo jumatatu wataalamu wote watapitia humu so unaweza kupata ufumbuzi ukawa unafaidi habari huko huko ulipo
   
 5. Cestus

  Cestus JF-Expert Member

  #5
  May 23, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 1,000
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  baadh ya nokia zinakuja na adobe reader pre-installed,may be na cm yako inaweza ikasupport ukifuata hyo link ulopewa hapo juu,na kuhusu kudownload youtube vids kwnye cm ni kasheshe kidogo,ila kuna site nshawahi kuidaka ya mobile unadownload zile vids zote za utube ila nlijaribu kuitafuta tena ckuipata!
   
 6. SHAROBALO

  SHAROBALO JF-Expert Member

  #6
  May 23, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 780
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 60
  Pole

  Fungua mtandao wa www.manase.wen.ru nenda sehemu iliyo andikwa softwares nimeona kuna Software nyingi za simu nadhani zitakufaa

  cheers!!
   
Loading...