You tube chanel

Apr 25, 2019
32
13
Nataka anzisha you tube Chanel,naombeni msaada vifaa muhimu vya kuwa navyo,ili niandae naombeni msaada tafadhal
 
Nataka anzisha you tube Chanel,naombeni msaada vifaa muhimu vya kuwa navyo,ili niandae naombeni msaada tafadhal
Hapo andaa laptop/computer (ila kwa kuanza Unaweza anza hata na simu), microphone, HD camera.
Vingine utaongeza baadae ila hivyo Ni vizuri kuanza navyo
 
Back
Top Bottom