mzinga makasini
Member
- Apr 25, 2019
- 32
- 13
Nataka anzisha you tube Chanel,naombeni msaada vifaa muhimu vya kuwa navyo,ili niandae naombeni msaada tafadhal
Hapo andaa laptop/computer (ila kwa kuanza Unaweza anza hata na simu), microphone, HD camera.Nataka anzisha you tube Chanel,naombeni msaada vifaa muhimu vya kuwa navyo,ili niandae naombeni msaada tafadhal