You need to read this!

Invisible

Robot
Feb 11, 2006
9,075
7,878
ONLY Registered members are requested to follow this!

JamiiForums.com uses WYSIWYG.

When posting messages to the forums or other members, there are three interface types available to you. The simplest of these is a simple text box, while the last is a fully-fledged WYSIWYG editor, which allows you to format your text as you want it and see the results immediately.

Depending upon the capabilities of your web browser, you may not be able to use all of these options. If you experience problems when posting messages, try switching to a different interface type.

To use WYSIWYG, please follow the following instructions as accompanied by images:

Below JF logo, please click on User CP

i326_UserCP.jpg

Then,

On your Right Column, there's Settings & Options... Click on Edit Options

i327_Settings.jpg

FINALLY, at the bottom of that new page after clicking on Edit Options, you will find
Miscellaneous Options where you will have to apply this:

i328_ChangeHere.jpg

And finally, click on Save Changes

You will now be able to use What You See Is What You Get (WYSIWYG).

Thanks
 
Thanks, wengine tunatumia windows mobile, lets hope for the best, tutayaweza yote hayo.
 
Thanks, wengine tunatumia windows mobile, lets hope for the best, tutayaweza yote hayo.
Kuna update nyingine nimeonelea ni vema tuiweke kwakuwa tutaanza kuwa tunatangaza Member of the Month.

Kwa hapo juu kwenye Nav Bar kuna sehemu imeandikwa " Quick Links " na ukiibonyeza utaona sehemu imeandikwa Top Posters of the Month na hapo utaweza kuona members ambao kwa mwezi husika wame-post kwa wingi.

attachment.php

Na ukiangalia kwa mwezi Machi utaona matokeo haya ya Top 10 Posters kwa mwezi huo:

i332_JFTopPosters.jpg
 
Attachments

  • qllink.jpg
    qllink.jpg
    10.3 KB · Views: 272
Kuna update nyingine nimeonelea ni vema tuiweke kwakuwa tutaanza kuwa tunatangaza Member of the Month.

Kwa hapo juu kwenye Nav Bar kuna sehemu imeandikwa " Quick Links " na ukiibonyeza utaona sehemu imeandikwa Top Posters of the Month na hapo utaweza kuona members ambao kwa mwezi husika wame-post kwa wingi.

Na ukiangalia kwa mwezi Machi utaona matokeo haya ya Top 10 Posters kwa mwezi huo:

i332_JFTopPosters.jpg

Inv. mimi si ioni hiyo ..Top Posters of the Month kny quick Link mkuu....missing something?

Cheers
 
Inv. mimi si ioni hiyo ..Top Posters of the Month kny quick Link mkuu....missing something?

Cheers

Miujiza!! Hata mimi siooni hiyo Top Posters of the Month chini ya quick links!!! Kulikoni Invisible wakati April Mosi imeshapita? Nashauri unisaidie!!
 
Nimeisoma hiyo list inmenikumbusha Nyani, bado tu kifungo chake hakijaisha!!!!
 
Inv. mimi si ioni hiyo ..Top Posters of the Month kny quick Link mkuu....missing something?

Cheers
Ukishabonyeza "Quick Links" inatokea Drop down menu, then bamiza hapa ninapoonyesha kwa wino mwekundu!

i333_QLinks.jpg

Inaelekea watu wengi hamjaisoma hii, napata kazi ngumu kuwabadilishia kwenye profiles zenu.

Iko hivi, huna sababu ya kukutana na tags wakati unaandika kitu hapa especially unapotaka kuweka rangi, numbering etc. Ukibonyeza rangi nyekundu maandishi yanatakiwa kuwa mekundu directly. Mpaka sasa nshawabadilishia members zaidi ya 1,000 lakini inachukua muda kujua kina nani ambao hawajafuata maelekezo haya.

Regards
 
Yeah it actual works!!! ....the thing is unaweza kutumia rangi bila codes kutokea......

hebu Bandugu tumrahisishie kazi basi Invisible mweeh!....Miye nimeona tangazo hili na nimejaribu and it works for me perfecto!...

Gracias Invisible!
 
Back
Top Bottom