You know you are in Tanzania when

Gaijin

JF-Expert Member
Aug 21, 2007
11,812
5,284
you know you are in Tanzania when....

1) Bia inalipa kodi kubwa zaidi ya migodi kwa ujumla

2)rais anafurahia kupiga picha na hundi isiyosahihi

3)Marais wanaitwa mafisadi wanatulia tuli, ati kengele za mlango...

4)Waziri Mkuu anasema ndege inapaa, wakati wananchi hawamiliki hata kupeleka watoto shule

5)badala ya viongozi wa juu wa serikali kuachana na biashara binafsi wakishika madaraka, wao ndio wanaanzisha biashara na kuweka anuwani mahala pao pa kazi

6)wanaoshutumiwa kwa ubadhirifu badala ya kusimamishwa kazi kwa ajili ya uchunguzi wanaongezewa wasaidizi.
 
You know you are in Tanzania when...

1. Muuaji Dito anapokuwa msemaji wa serikali kwenye mkutano wa
hadhara ambao umeitishwa na serikali

2. Ukiwa mzungu unanuna shimo la dhahabu kwa shilingi laki mbili
 
Kwanini Usiwe wewe- ili Ukomae uache kulamu?
 
You know you are in Tanzania when...

1. Muuaji Dito anapokuwa msemaji wa serikali kwenye mkutano wa
hadhara ambao umeitishwa na serikali

2. Ukiwa mzungu unanuna shimo la dhahabu kwa shilingi laki mbili

SAWA.....We unae andika sijui ni Jamii gani?
 
..maneno yanapozidi matendo,4*4*far!

..wapiga kura wanapochagua walaji badala ya wazalishaji!

..makosa ya kiuongozi yanaporudiwa tena na tena bila aibu!
 
you know you are in Tanzania when....

1) Bia inalipa kodi kubwa zaidi ya migodi kwa ujumla

2)rais anafurahia kupiga picha na hundi isiyosahihi

3)Marais wanaitwa mafisadi wanatulia tuli, ati kengele za mlango...

4)Waziri Mkuu anasema ndege inapaa, wakati wananchi hawamiliki hata kupeleka watoto shule

5)badala ya viongozi wa juu wa serikali kuachana na biashara binafsi wakishika madaraka, wao ndio wanaanzisha biashara na kuweka anuwani mahala pao pa kazi

6)wanaoshutumiwa kwa ubadhirifu badala ya kusimamishwa kazi kwa ajili ya uchunguzi wanaongezewa wasaidizi.
7) Mkuu wa mkoa ni standard seven failure, kama vile Bashite

8) Nchi inaongozwa na incompetent person kama John Magufuli

9) Rais anayepigana na ufisadi anakwapua Tsh trillion 2.5 kutoka kwenye mifuko ya fedha za umma

10) Pale Tsh 7.8 million zinatumika kujenga kidaraja cha Tsh laki moja

11) Badala ya kuboresha serikali inaharibu, mfano sakata la korosho aka #koroshow

12) Watu waliokuwa wanatetea mtazamo fulani kabla ya kuwa na madaraka hugeuka nyuzi 180, mfano Polepole na Kabudi kwenye suala la katiba

13) Rais anakuwa na upendeleo na ukabila, mfano bomoa bomoa Kimara versus Mwanza

14) Rais au mgombea urais anaongea lugha za kikabila anapohutubia umma, ingawa hairuhusiwi kisheria

15) Rais anadhani akinunua ndege na kujenga SGR basi automatically maisha ya watu yanakuwa bora, bila kujali approach anayoitumia kujenga hiyo miundombinu

16) Rais anakuwa mwongo, anasema SGR inajengwa kwa pesa za ndani bila mkopo kumbe fedha zinakopwa

17) Fisadi aliyekubuhu kama Chenge ndiye mwenyekiti wa bunge kwenye serikali inayojinasibu kupambana na rushwa

18) Mtu anayewapiga wananchi makofi hadharani ndiye spika wa Bunge la jamhuri

19) Rais haheshimu sheria za nchi na mihili mingine ya uongozi, mfano kukiuka sheria za manunuzi na ugawiwaji (allocation) wa fedha za maendeleo.

20) Serikali inawaita wafadhili wa miradi ya maendeleo mabeberu hadharani, huku ikiwapigia magoti nyuma ya pazia

21) Mbunge anapigwa risasi hadharani lakini hakuna uchunguzi unaofanyika wala kesi kufunguliwa

22) ...
 
Back
Top Bottom