Gaijin
JF-Expert Member
- Aug 21, 2007
- 11,812
- 5,296
you know you are in Tanzania when....
1) Bia inalipa kodi kubwa zaidi ya migodi kwa ujumla
2)rais anafurahia kupiga picha na hundi isiyosahihi
3)Marais wanaitwa mafisadi wanatulia tuli, ati kengele za mlango...
4)Waziri Mkuu anasema ndege inapaa, wakati wananchi hawamiliki hata kupeleka watoto shule
5)badala ya viongozi wa juu wa serikali kuachana na biashara binafsi wakishika madaraka, wao ndio wanaanzisha biashara na kuweka anuwani mahala pao pa kazi
6)wanaoshutumiwa kwa ubadhirifu badala ya kusimamishwa kazi kwa ajili ya uchunguzi wanaongezewa wasaidizi.