You human being, watch out!!!!!!!

Dr. Nsaji

Member
Aug 9, 2011
9
0
cros.jpg cros2.jpg cros3.jpg cros4.jpg cros5.jpg cros6.jpg cros9.jpg cros10.jpg cros11.jpg cros12.jpg cros13.jpg
 
Hapo tunajifunza kuwa matatizo katika safari ya maisha ni MWALIMU wetu!...yanatufunza, hivyo tusiyakwepe.
Ukitaka kuishi 'problem-free", basi ujue utakutana na hali mbaya sana huko mbele ya safari, na utakwama jumla!
Thank you mleta mada- u hv tought us something!
 
yaah Pj, huyo jamaa alifikiri anapunguza matatizo kwa kupunguza msalaba kumbe ndio kayatafuta makubwa zaidi, safari itabidi iishie hapo, imekula kwake
 
huyo anatoka chama cha magamba, amevaa jezi zao, magamba wote wanapenda mkato halafu yanawashinda.
 
jamaa hajapoteza kitu..................kwani alipofika hapamtoshi???aishie hapo arudi nyuma coz kote kutakuwa kwake,wenzake wamemwachia,no loss
 
Ujanja mwingi mbele giza huyu jamaa alijifanya mjanja kupunguza msalaba sasa mbele kashindwa kuvuka,wenzake wanapeta
 
MOD anzisha penati kwa mtu anyerudia post za wengine, punguza rep power.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom