You Decide Who Is More Beautiful Aishwarya Rai Vs Angelina Jolie

bwana we msisikieeee bomba ni AISHWARIYA RAI..hakuna kama yeye ukizingatia alitoka miss world vilevile..na hkuna anepata uzuri wake wa macho..mbona abusheki ana chombo hicho kisicho na doa jamani hilo jizungu halina lolote tu mi nawashangaa saana:lol:

Shekhe "utamu wa pipi mate yako" wewe unasema radha gani hii wakati wezako wanasema radha malithawa
I GO BY ANGELINA ila huyo muhindi sibezi ,ni kama ningenda dinner ni order mlo unaitwa Angelina wakisema hauko ktk todays special by second choice ingekuwa huyo muhindi
 
Back
Top Bottom