You Decide Who Is More Beautiful Aishwarya Rai Vs Angelina Jolie

FirstLady1

JF-Expert Member
Jul 29, 2009
16,792
5,374
aishwarya-rai37.jpg
Ais
angelina-jolie-frutilla.jpg

aishwarya_rai_7.jpg
air
angelina-jolie-pregnant.jpg
aj
oscars09_angelinajolie_earring.jpg
aj
427064_f520.jpg
ar
Salt-Russia.jpg
aj
Aishwarya-Rais-Beautiful-Pictures11.jpg
ar
angelina-jolie-hot-pic.jpg
aj
aishwarya.jpg
ar
 
Hamna kitu hapo! Wewe unajua nini maana ya mwanamke mzuri? Ngoja nikupe definition:

1. Mwanamke mzuri si lazima awe mrembo
2. Mwanamke mzuri ni msafi naturally, si usafi wa nje na ndani kuchafu.
3. Mwanamke mzuri ni yule umewahi kudhibitisha kuwa hanuki while u do that shit
4. mwanamke mzuri is civilized n she talks lowly.

Hiyo ni kwa ufupi. Finally mwanamke mzuri ni mke wako wa ndoa ambaye umekuta anatimiza the above mentioned criteria.

Upo kijana? kaaaa chonjo!!!!!!!
 
:becky::becky::becky: asante kwa maelezo matamu ila nahisi cjui hatukuelewana swali..mie nimeweka kati ya hao wawili nani anamzidi mwenzie sio wanawake wote duniani
 
Mie binafsi naona muhindi murembo sana ana vimacho vizuri vinameremeta kama taa ..
 
Mie binafsi naona muhindi murembo sana ana vimacho vizuri vinameremeta kama taa ..
Nakubaliana na wewe kwa asilimia zote.
wahindi ni bomba jamani. Angelina Jolie ni umaharufu lakini kwa uzuri hawazidi hao mabinti wa kidosi.
Ila wahindi wa bongo siwapendi.
 
Nakubaliana na wewe kwa asilimia zote.
wahindi ni bomba jamani. Angelina Jolie ni umaharufu lakini kwa uzuri hawazidi hao mabinti wa kidosi.
Ila wahindi wa bongo siwapendi.

Kwa nini huwapendi wahindi wa Bongo?
 
Angela Jolie ana lips zenye Mvuto na uso mzuri sana tena labda bila surgery ...so kwa first impresssion Angela anavutia ukizingatia ni Mama wa watoto watatu!!!:A S 8:
 
You Guys decide and I'll take care of the other matters but as for me Jolie is wow!
 
Hawa wazungu wenye midomo minene huwa wanaongeza mavitu through injection (nimesahau jina). Na si kwenye midomo tu bali nyuso zilizokunyaa kwa uzee (through plastic surgery), maziwa (silicone) na Mungu anajua vitu gani vyengine.

Si ajabu ukiangalia picha ya Angelina Jolie alipokuwa mdogo utakuta alikuwa na lips nyembamba kama wazungu wengine.

Lakini wahindi bomba uzuri wao natural kwa wale ambao Mungu amewapa huo uzuri.
 
Nakubaliana na wewe kwa asilimia zote.
wahindi ni bomba jamani. Angelina Jolie ni umaharufu lakini kwa uzuri hawazidi hao mabinti wa kidosi.
Ila wahindi wa bongo siwapendi.

nasikia harufu ya ubanguzi wa rangi hapa...

wamekuajiri halafu wanakulipa kiduchu nini mkuu?????
 
Mh wakuu mi hapo nashindwa hata kulinganisha maana naona wote wana midomo kama samaki ,sasa dah nimeshindwa!!!!!!
 
bwana we msisikieeee bomba ni AISHWARIYA RAI..hakuna kama yeye ukizingatia alitoka miss world vilevile..na hkuna anepata uzuri wake wa macho..mbona abusheki ana chombo hicho kisicho na doa jamani hilo jizungu halina lolote tu mi nawashangaa saana:lol:
 
Back
Top Bottom