You are really BITCH

Haya mengine ni kuwatafutia watu jela bure,inakuwaje unatumia vitenzi vifurukushi jinsi hii, watu8 naomba ufafanuzi wa hii kauli hapa....
 
Last edited by a moderator:
Kuna kosa hapo? Mbona shukurani watu hamna.

Sasa hapo we unaweza kumshukuru kwa lipi,ni sawa na ng'ombe anayebembelezwa kuvikwa nira kwa maneno matamu na miluzi ya kuvutia.Ila nira ikishamkaa shingoni tu anacharazwa kiboko safari ianze...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom