You are blind. Though you don't want to admit

ize Political thief iz stending up low.?
(sijui nimepatia kiinglish?)

nauliza...huyu Political thief kwani yuko juu ya sheria?

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Sijui kusema kweli.
Nisaidie

Na mimi sikuwa na uhakika wa kukuwekea marejeo toka kwa wasomi wa Kiswahili,ila sababu mimi ni mswahili nilivyoisoma tu kauli hii nikahisi ina makosa sababu Waswahili huwa hawatumii tamko hilo kama ulivyolitumia wewe ndio kuna kuwa na ukakasi katika kauli hiyo. Sababu msingi wa ufasaha wa lugha kwanza huangaliwa wale wenye lugha husika huwa wanayatumiaje maneno husika.

Kama hujaelewa unaweza kuuliza tena,kwa ajili ya ufafanuzi zaidi.
 
Back
Top Bottom