Yote tisa, kumi ni hili analoenda kufanya Ndalichako, mjiandae kulia na kusaga meno!

Kwani majina yanaoelekwa kufanywa nini?

Mimi jimesikia kuna vyuo 16 wameambiwa wapeleke matokeo ya wanafunzi ili waweze kupatiwa fedha za kujikimu kwa mwaka unaofuata.
kiki tu. inamaana chuo hakijapeleka matokeo kweli? au ni kutaka kutuaminisha wananchi kua vyuo ndivyo vinavyowakwamisha!
 
ajiuzuru kama alivyojiuzuru alipoambiwa 'kusatandadaizi' matokeo ya mtihani wa kitato cha nne mwaka 2012, ili tuone kama yeye hapendagi ujinga kweli!!! ataendeleaje kula mshahara huku akiagizwa kufanya ujinga, wakati yeye hapendagi ujinga?
Asante sana mkuu kwa maneno yako, hivi sio huyu mmama anayesema mwakani O Level mchepuo uwe sayansi peke yake? Au ulikuwa ni udaku tuu!?
 
Asante sana mkuu kwa maneno yako, hivi sio huyu mmama anayesema mwakani O Level mchepuo uwe sayansi peke yake? Au ulikuwa ni udaku tuu!?
ndiye yeye. kwa hilo tumsamihe, huenda alikua amepita kumsalimia kitwanga mara moja.
 
Nazidi kupata raha mie.
Wacha waisome nambaeee.... Wajinga walee, CCM mbele kwa mbeleeeee.
 
huo utakuwa ni uvunjifu wa amani sasa ndicho uongozi na awamu hii ya tano watakachokuwa wanakitaka.ase sio kwa kutuendesha huku
 
Alituongopea kodi kwenye mshahara atashusha hadi 9% hadi sasa bado nakatwa ileile mwaka unaisha sasa
Vyeo bado ishu hatujapandishwa hadi sasa mikopo vyuo ndio analeta dodoso
Hivi kuna mtu bado anaimani na fisiem
Mkuu kaja uko Tanzania bara au visiwani?Toka Julai kodi ilishushwa hadi 9%
 
Mkuu kaja uko Tanzania bara au visiwani?Toka Julai kodi ilishushwa hadi 9%
Muongo mm mshahara wangu hadi sasa uko vilevile hamna cha kushusha nasubiri salary slip zitoke tuelewane niandikie deni
 
Back
Top Bottom