Yote heri. ACT Wazalendo kuna wanawake wazuri hatari, na hiyo rangi ya purple imetiki

Kulupango

JF-Expert Member
Mar 19, 2020
288
534
ACT wazalendo kuna wanawake wazuri, na hiyo rangi ya purple ndo kabisaa imewakoleza, si wamama watu wazima wala mabinti, wote wako bomba, si weusi wala wale weupe wote wanameremeta hatari, nimeshawishika kuchukua kadi, halafu ni wasafi sana kwa mtazamo, nadhani itakuwa ni moja ya sera yao. Hakika wanastahiki pongezi sana. Na kingine nilichogundua wengi hawana sare za chama bali ni mavazi yao binsfi yenye mng'ao wa purple.

EbCllSvWoAIrAUw.jpg
images.jpg
EXu2_X5XYAAioZi.jpg
4jCqCjtt_400x400.jpg
109699049_338054937213843_8172214803698409865_o.jpg
download.jpg
IMG-20161129-WA0074.jpg
 
Attachments

  • EUBvw0CXQAA_4wG.jpg
    EUBvw0CXQAA_4wG.jpg
    73.4 KB · Views: 2
ACT wazalendo kuna wanawake wazuri, na hiyo rangi ya purple ndo kabisaa imewakoleza, si wamama watu wazima wala mabinti, wote wako bomba, si weusi wala wale weupe wote wanameremeta hatari, nimeshawishika kuchukua kadi, halafu ni wasafi sana kwa mtazamo, nadhani itakuwa ni moja ya sera yao. Hakika wanastahiki pongezi sana. Na kingine nilichogundua wengi hawana sare za chama bali ni mavazi yao binsfi yenye mng'ao wa purple.

View attachment 1514911View attachment 1514912View attachment 1514913View attachment 1514914View attachment 1514915View attachment 1514916
Yu aa rait Mai frend
 
ACT wazalendo kuna wanawake wazuri, na hiyo rangi ya purple ndo kabisaa imewakoleza, si wamama watu wazima wala mabinti, wote wako bomba, si weusi wala wale weupe wote wanameremeta hatari, nimeshawishika kuchukua kadi, halafu ni wasafi sana kwa mtazamo, nadhani itakuwa ni moja ya sera yao. Hakika wanastahiki pongezi sana. Na kingine nilichogundua wengi hawana sare za chama bali ni mavazi yao binsfi yenye mng'ao wa purple.

View attachment 1514911View attachment 1514912View attachment 1514913View attachment 1514914View attachment 1514918View attachment 1514916View attachment 1514917
Painted beauty

Jr
 
Kinachonishangaza ni kwamba baada ya huyo bwana kusema hao ni wazuri eti watu wote wameunga mkono. Sijasema ni wabaya ila siyo kama uzi ulivyodai.
 
Back
Top Bottom