Yote haya yanatokea kwa sababu ya chuki kwa ndugu zetu Watanzania wenzetu

Surveillance

Member
Dec 2, 2018
25
22
Nchi yetu inapitia kipindi kigumu kwa kuwa mahusiano yetu na nchi wahisani wa maendeleo umelegalega. Jamani tukumbuke Utu na Utanzania wetu kwanza, tuthaminiane, tupendane. Chuki haijawahi kuzaa matunda mema katika historia ya Dunia hii.
 
Nchi yetu inapitia kipindi kigumu kwa kuwa mahusiano yetu na nchi wahisani wa maendeleo umelegalega. Ukichunguza chanzo ni chuki kwa wapinzani na wakosoaji ambao nao ni raia wa Tanzania tena kwa kuzaliwa. Jamani tukumbuke Utu na Utanzania wetu kwanza, tuthaminiane, tupendane. Chuki haijawahi kuzaa matunda mema katika historia ya Dunia hii.

Exactly, tatizo liko wazi na anayesababisha hiyo hali anafumbiwa macho. Chuki ya wazi dhidi ya wapinzani ndio sababu ya yote yanayoendelea.
 
Baada the failed assassination ya kamanda lissu mioyo yao aitulii kila wanaemuona wanafikiri ni lissu. Iliniuma Sana kweli lissu yuko mahtuti unakataa kutoa pesa ya matibabu ambayo ipo kisheria.lengo haha lilikua nini afe au jah bless kamanda yuko salama Kwa nguvu za maulana
 
Back
Top Bottom