Yona na Mramba: Mashtaka na yatokanayo

Huyu bwana ni lazima ahudhurie harusi ya mwanawe kesho, Period!... Kivipi,? hio sio headache yake.... ni headache ya mawakili, wahakimu, wanasheria na wakulu wenzake walioko nje...bila hivyo, ule MPASUKO wa visiwani utavuka bahari.

Huo mpasuko tunausubilia kwa mikono yote miwili...
 
Dakika mbili au tatu hivi zimesalia kabla ya High Court kusikiliza pingamizi la kina Mramba.

Let's wait & see the outcome
 
dhamana imepanguliwa, hakimu alikosea mahesabu yaani gawa 11.7bn kwa mbili, unapata ngapi? Halafu wako wawili unagawa tena kwa mbili. Sasa Hakimu alipata 3.9bn ambayo kwa kila moja wangelipa jumla ya 7.8bn ambayo sio nusu ya 11.7bn, upoooo? Majitu kama Hakimu huyu husababisha kesi nzuri ikapotezwa. Hakimu ni lazima awe mtu makini na asiyeegemea popote, lakini huyu! Hivi Mramba wanaweza kuweka nyumba ya 2.65bn, sijui wanazo!? Ila uzuri wanaweza wakakusanya nyumba nyingi mpaka zifikie!
 
So? Wamepata dhamana ama? malizia statement yako! What is going on? Habari nusunusu hii.
 
dhamana imepanguliwa, hakimu alikosea mahesabu yaani gawa 11.7bn kwa mbili, unapata ngapi? Halafu wako wawili unagawa tena kwa mbili. Sasa Hakimu alipata 3.9bn ambayo kwa kila moja wangelipa jumla ya 7.8bn ambayo sio nusu ya 11.7bn, upoooo? Majitu kama Hakimu huyu husababisha kesi nzuri ikapotezwa. Hakimu ni lazima awe mtu makini na asiyeegemea popote, lakini huyu! Hivi Mramba wanaweza kuweka nyumba ya 2.65bn, sijui wanazo!? Ila uzuri wanaweza wakakusanya nyumba nyingi mpaka zifikie!

Hata wewe pia umekosea! ni 2.925b ndo kila mmoja anatakiwa alipe. Coz 11.7 Devide by 2 = 5.85 devide by 2 = 2.925! upo?
 
Masharti yapi zaidi wamepewa; si sawa kula harusi ya mtoto wake; ataipa matatizo tu hiyo harusi; je Mahakama hiyo inaruhusiwa kuendelea na kesi hiyo ili kupokea rufani ya hao wajumbe; kwa uelewa wangu najua wao wanatengua tu huo uamuzi ila mamlaka yanarudi kule kurekebishwa; Sheria mweupe ebu nijuzeni kidogo hapo
 
Haswa, sakata hili linavyoenda, naona mahakama zitafanya kazi weekend. lol!!!! Maana hata iyo rufaa ilivyosikilizwa haraka!!!
 
Nimepata Breaking news....... wameachiwa kwa dhamana dk 20 zilizopita
Wachagga na wameru wamefulika kwa wingi mahakamani wakichangishana kuhakikisha mzee anafaudu harusi ya mwanae kesho.
 
Du Wachagga na wameru wangekuwa wanachangishana hivyo ktk mambo ya elimu na elimu ya juu na afya Tz ingekuwa iko mbali sana na hata wanafunzi waliofukuzwa wasingeweza kufukuzwa; hakina WATZ wanafiki wengi let me be frank; wanachangishana ktk UFISADI!!!; I doubt them.
 
ARE YOU SURE? Mbona nimepata text message sasa hivi kwamba wamerudishwa Keko?
 
Hao ndio Watanzania zaidi ya unavyowajua! Bado wako gizani kabisa kuhusu kinachoendelea nchi hii. Na ndio wapiga kura hao, mapambano yaanatakiwa k uelekeza kwenye kuwazindua kifikra zaidi kwa Watanzania!
 
ARE YOU SURE? Mbona nimepata text message sasa hivi kwamba wamerudishwa Keko?

Mkuu ni kweli kabisa saizi kama 30 zimepita jamaa wapo huru wanarudi kwao kujiliwaza na machungu ya Keko.
Mahakama iliaihirishwa asb na kuendelea na kazi mchana kwa hiyo wamewapunguzia masharti ndo maana wapo wamepewa dhamana.Alafu nusu ya bilioni 11 ilikuwa ni 2.9 kwa kila mmoja kama jamaa alivyo piga hesabu hapo juu.
 
Nimepata Breaking news....... wameachiwa kwa dhamana dk 20 zilizopita
Wachagga na wameru wamefulika kwa wingi mahakamani wakichangishana kuhakikisha mzee anafaudu harusi ya mwanae kesho.

Hii tone imekaa kikabila vile.... wachagga na wameru tena wamekosa nini? Unajua mwingine anaweza kusema wakristo au walutheri au wakatoliki wamefurika mahakamani..... ili kuelezea watu waliofika mahakamani.

Nadhani hii sio sahihi kuwaita hao watanzania kwa ukabila wao.
 
Ooooh no!! I was hoping they'd spend the weekend behind bars!!! Damn! Pole to the bride & groom, sins of our fathers have a tendency to haunt us at times.....
 
Du Wachagga na wameru wangekuwa wanachangishana hivyo ktk mambo ya elimu na elimu ya juu na afya Tz ingekuwa iko mbali sana na hata wanafunzi waliofukuzwa wasingeweza kufukuzwa; hakina WATZ wanafiki wengi let me be frank; wanachangishana ktk UFISADI!!!; I doubt them.

Naona kuna haja ya UWT kuwachunguza wale wanao wadhamini mafisadi zisije zikawa ndo mali zao hao hao wanaodhaminiwa.Alafu hata TRA wawafuatilie hao wanaowadhamini hawa watuhumiwa kama kweli wanalipa kodi kihalali naona kuna hoja ya msingi hii ya kuwafuatilia kwa makini hawa watu tujue uhalisia wa pesa zao.
 
Kuna habari kuwa Mramba ameachiwa kwa dhamana na masharti ya dhamana yamepunguzwa mpaka 2.9bill na sio cash tuu bali hata mali anaweza weka
 
Back
Top Bottom