Yona calls it a day: Leaves UK oil company in limbo

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
124,790
288,007
Yona calls it a day: Leaves UK oil company in limbo

-Result of abuse of office case brought against him

FINNIGAN WA SIMBEYE
THIS DAY
Dar es Salaam

THE former minister for energy and minerals, Daniel Yona, has been forced to resign from his lucrative position as a member of the board of directors of UK-based Dominion Petroleum Limited following his arrest and subsequent prosecution on charges of abuse of public office and occasioning a loss of more than 11.75bn/- in tax revenue to the government.

’’Dominion has reluctantly accepted with immediate effect the resignation as a non-executive director of Mr Daniel Yona,’’ the oil and gas exploration company announced on its website on November 28 this year, two days after the former minister was arraigned in court.

The statement added: ’’Mr Yona’s resignation follows his arrest in Dar es Salaam, Tanzania, on charges of abuse of office occasioning loss of income tax revenue as a result of tax exemptions granted in relation to gold production assaying.’’

The UK company issued the statement in the period when Yona and ex-finance minister Basil Mramba were confined in remand prison, pending their release on bail.

’’Dominion understands that the charges, which Mr Yona has denied, relate to a period during which he was the minister of energy and minerals, before he joined the board of the company. They have nothing to do with his position as a director of Dominion. Dominion has reluctantly accepted his resignation whilst Mr Yona seeks to clear his name,’’ said the company on its website.

Dominion was listed on the alternative investment market (AIM) of the London Stock Exchange in December 2006. Stock market analysts say Yona’s resignation from the company is in line with regulations governing the LSE’s alternative investment market.

The company has a portfolio of 16 prospects onshore in Tanzania and says it plans to begin drilling the prospects this year.

It has 48,230 square kilometres under four production sharing agreements in Tanzania. These include four licences onshore - Mandawa, Kisangire and Lukuliro (both under the Kisangire PSA) and Selous - and one licence offshore - Block 7.

’’Dominion’s gross unrisked recoverable resources onshore in Tanzania have been estimated at 1,115 million barrels of oil equivalent (103 million barrels risked),’’ says the company on its website.

Off the Tanzanian coast, Dominion operates an exploration licence on the continental slope of the Indian Ocean where there are large exploration targets.

Dominion also conducts oil and gas exploration in neighbouring Uganda and the Democratic Republic of Congo (DRC) where it operates two exploration licences.

Yona and Mramba have been jointly charged with extending a controversial contract with Alex Stewart (Assayers) Government Business Corporation and granting dubious tax exemptions to the gold auditing company.

The charges stem from a period between 2002 and 2005, when Mramba served as minister for finance and Yona was minister for energy and minerals in the third phase government of then president Benjamin Mkapa.

Mramba, aged 68, and Yona (67) both pleaded not guilty to a total of 13 counts drawn up by the Prevention and Combating of Corruption Bureau (PCCB) in criminal case number 1200 of 2008 at the Kisutu Resident Magistrate’s Court.
 
Yona anakisu kirefu kushinda maelezo yaaraka.jamaa hafai. And the reason he sat on that board is probably anashare kubwa tuu. And people resign board positions but never shares.. Atakuwa anawakilishwa na mtu.
 
Hivi hiki cheo cha ukurugenzi ndani ya hiyo kampuni ya utafiti wa mafuta&gesi alipewa au alituma maombi kama watu wengine wanavyoomba ajira kadri zinavyotangazwa au ni mwanahisa katika hiyo kampuni?
Kama alipewa basi kuna walakini katika hilo!!
 
Hivi vyema hawa waheshimiwa huwa wanarushiwa kwa sababu za kisiasa i.e kwa ajili ya kufanikisha mambo yao (investors) so vyeo hivyo hupewa either kwa grant shares kwa hawa prominent figures au tu hupachikwa ukurugenzu bila hata ya kuwa na hisa....! sasa kwa huwa mheshimiwa sijua alipataje ukurugenzi hapo!
 
Yona anakisu kirefu kushinda maelezo yaaraka.jamaa hafai. And the reason he sat on that board is probably anashare kubwa tuu. And people resign board positions but never shares.. Atakuwa anawakilishwa na mtu.

I'm sure these guys also thought Yona still had a lot of political clout and could lobby on thier behalf. They must have been shocked to hear he had been arrested. Now they are like "’’Dominion has reluctantly accepted... ". My ass he was probably forced out.
 
''Dominion understands that the charges, which Mr Yona has denied, relate to a period during which he was the minister of energy and minerals, before he joined the board of the company. They have nothing to do with his position as a director of Dominion. Dominion has reluctantly accepted his resignation whilst Mr Yona seeks to clear his name,'' said the company on its website.

This is a ramshackle of a venal company!

When you accept the resignation of an executive tainted by malfeasance charges for acts which allegedly occurred prior to joining your company you can not intimate that he will clear his name. You do not know that he did not commit the crimes, as he was not working for you then!

Shoddy, crummy, venal British company taking advantage of unsuspecting Tanzanians!

Kick 'em out of the country! Take Yona with you!
 
Hii inaitwa conflict of Interest, licence unatoa wewe, then unawekwa kwenye Board au watoto wako au Proxy wako, then unakuja kutoa Tax exmption etc, na Mifano kama hivyo Bongo, ni mingi, hivyo wahusika katika biashara, kama Brela, tume ya Viongozi etc transparency inatakiwa iongezwe, sio kusema mtu aandikishe Mali zake wakati hamruhusu independent verification
 
I wish Tanzanian leaders could do the same when it is known that there is a cloud over their leadership. Why do it while working for foreign companies and not your country? What a shame!
 
Hii inaitwa conflict of Interest, licence unatoa wewe, then unawekwa kwenye Board au watoto wako au Proxy wako, then unakuja kutoa Tax exmption etc, na Mifano kama hivyo Bongo, ni mingi, hivyo wahusika katika biashara, kama Brela, tume ya Viongozi etc transparency inatakiwa iongezwe, sio kusema mtu aandikishe Mali zake wakati hamruhusu independent verification

Na si ajabu viongozi wengi wa Tanzania wamo katika Board za makampuni mengi ya nje yanayojifanya ni wawezekaji Tanzania.
 
Na si ajabu viongozi wengi wa Tanzania wamo katika Board za makampuni mengi ya nje yanayojifanya ni wawezekaji Tanzania.

kumbuka VODACOM na Msekwa kuwa kwenye Board wakati bado alikuwa bado Spika, alipoulizwa itakuaje issue ya Voda ikiwa kwenye discussion, akasema ohh mimi karibu na-retire na sina kazi nyingine
 
Na si ajabu viongozi wengi wa Tanzania wamo katika Board za makampuni mengi ya nje yanayojifanya ni wawezekaji Tanzania.

Mzee hayo ni majibu. Jamaa hizo ndiyo deal zao, si unajuwa wanajua/fikiri sisi tumelala kwa hiyo wanfanya kama wanavyotaka!!!!
 
Hii inaitwa conflict of Interest, licence unatoa wewe, then unawekwa kwenye Board au watoto wako au Proxy wako, then unakuja kutoa Tax exmption etc, na Mifano kama hivyo Bongo, ni mingi, hivyo wahusika katika biashara, kama Brela, tume ya Viongozi etc transparency inatakiwa iongezwe, sio kusema mtu aandikishe Mali zake wakati hamruhusu independent verification

Niongezee kuwa wabunge wetu huwa wanajipangia mishahara na marupurupu baada ya kuchaguliwa; vil;e vile wanapatanga mishara na marupurupu ya viongozi walioko madarakani. Hiyo nayo ni conflict of interest. Kama wakipanga mishahara mipyqa ya wabunge inatakiwa mishahara hiyo inaze kutumika katika bunge lijalo, siyo bunge linalopitisha msihara hiyo.

Juzi juzi nimesikia kuwa mwaka jana Bunge la Marekani (Senate + Congress_) walipitisha uamuzi wa kupandisha mshahara wa Waziri wa mambo ya nje (Secretary of State). Sasa kwa vile mama Clinton alikuwa ni seneta wakati huo na alipiga kura kusapoti nyongeza hiyo, yeye hataruhusiwa kupokea mashahara huo mpya atakapochukua madaraka ya secretary of State kwenye serikali ya Obama.
 
kumbuka VODACOM na Msekwa kuwa kwenye Board wakati bado alikuwa bado Spika, alipoulizwa itakuaje issue ya Voda ikiwa kwenye discussion, akasema ohh mimi karibu na-retire na sina kazi nyingine
halafu akasema waliokuwa wanahoji ukweli huo kuwa wana wivu wa kike. Baada ya kuukosa uspika tu, wakamnyang'anya uenyekiti wa bodi papo kwa papo bila hata kumwonea haya: ha!!!! ha!!!! ha!!!! ha!!!! ha!!!! ha!!!!
 
Yaani hapa ndo utatambua umuhimu wa JK Nyerere na Azimio la Arusha. Aliona haya siku nyingi. Huyu mzee alifanyia utafiti na si kweli kuwa alikurupuka. Tatizo lilikuwa katika utekelezaji tu. Sisi leo ndo tunajua umuhimu wake.
 
solution sasa hivi tahiliso, ma-lecture wana vyuo vyetu, vyama vya wafanyakazi na wapinzania wakae kikao cha pamoja, na CCM kama wako tayari ili waongelea mstakabali wa nchi yetu ki-sayansi(professionally) na sio kisiasa ili tujuwe tunatoka wapi na tunakwenda wapi, ama sivyo huu mchezo wa kuchezewa na Magabacholi na makuwadi wao utakuwa na maafa makubwa saana kitaaluma, kiuchumi na kisiasa.
Ndio matokeo yake tunawekewa sheria ambazo wanajua jinsi gani watakavyo vicha maaovu yao, na kubadili majina ya institution , kumbe hawana nia yoyote yakuleta mabadiliko ya kweli.
 
Mnashangaa nini muulizeni Mrisho conflict of interest zake kuanzia Barrick hadi kwenye CCM na wanae.
 
Niongezee kuwa wabunge wetu huwa wanajipangia mishahara na marupurupu baada ya kuchaguliwa; vil;e vile wanapatanga mishara na marupurupu ya viongozi walioko madarakani. Hiyo nayo ni conflict of interest. Kama wakipanga mishahara mipyqa ya wabunge inatakiwa mishahara hiyo inaze kutumika katika bunge lijalo, siyo bunge linalopitisha msihara hiyo.

Juzi juzi nimesikia kuwa mwaka jana Bunge la Marekani (Senate + Congress_) walipitisha uamuzi wa kupandisha mshahara wa Waziri wa mambo ya nje (Secretary of State). Sasa kwa vile mama Clinton alikuwa ni seneta wakati huo na alipiga kura kusapoti nyongeza hiyo, yeye hataruhusiwa kupokea mashahara huo mpya atakapochukua madaraka ya secretary of State kwenye serikali ya Obama.

Hate or love it...US is a model to the world.
 
- Sasa Yona atajitoa au atatolewa kwenye umiliki wa kituo kikubwa cha mafuta pale Bagamoyo? Maana according to the dataz anakimili akishirikiana na Rostam!
 
Hillary atapata mshahara mpya wa SOS lakini itabidi katiba ifanyiwe twist kidogo ili kukiepuka kipengele ambacho kina utata. Nilisikia hili CNN.
 
Back
Top Bottom