Yo Yo ntakudai | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Yo Yo ntakudai

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by zomba, Apr 4, 2009.

 1. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #1
  Apr 4, 2009
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  [​IMG]  Yo Yo hii avatar yako inanitesa, kila nnaposoma post zako, mjukuu wangu, ambae anapenda kukaa na mimi nnapokuwa jamvini, huanza kutaka kumkamata huyo ''dudu'', kisha chafuwa sana ka laptop kangu (kwa udenda uliochanganyika na kuti'' (biskuti)) alichonitunukia babake (mwanangu).

  ''babu dudu, dudu'', toka nilikuwa nacheka mpaka sasa naona hicho kidudu kitanitia damage. Halafu cha kushangaza, hata akiwa mbali anakiona! anakuja mbio kutaka kukikamata.

  Any damage to my laptop kutokana na madenda na ''kuti'', bill comes to you Yo Yo.
   
 2. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #2
  Apr 4, 2009
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160

  Hiyo ndio raha ya kuwa na wajukuu wadadisi...! Hope hatakuwa kama babu yake...! lol!
   
 3. Madam Koku

  Madam Koku Senior Member

  #3
  Apr 4, 2009
  Joined: Feb 16, 2009
  Messages: 113
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 45
  teh teh I can imagine
   
 4. Saikosisi

  Saikosisi JF-Expert Member

  #4
  Apr 4, 2009
  Joined: May 4, 2007
  Messages: 528
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Huyo mjukuu wako atakuja kuwa m-zoologist!
   
 5. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #5
  Apr 4, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  Huyo kijana wako sasa ukienda kule jukwaa la kikubwa napo anafanyaje?
   
 6. Timtim

  Timtim JF-Expert Member

  #6
  Apr 4, 2009
  Joined: Feb 9, 2008
  Messages: 603
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 45
  Sio mjukuu tu wenzangu. Unajuwa wakati mwengine unakuwa very busy mara site hii mara nyengine at the same time upo unatizama television. Musinicheke lakini ni kweli hata mimi huwa napangusa screen nikidhani eti kuna kamdudu kanatembea kwa screen ya laptop yangu.

  Pengine utu uzima huo. Hunifanya ni smile kila ninapo jaribu kumpangusa kadudu hako. Ni Avitar poa kabisa.
   
 7. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #7
  Apr 4, 2009
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Hatar Kubwa!
   
 8. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #8
  Apr 5, 2009
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Kazi ipo
   
 9. Buswelu

  Buswelu JF-Expert Member

  #9
  Apr 5, 2009
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 1,989
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Ila wewe yo yo...haka ka mdudu ni balaa...yaani unaweza kuwa busy ukafikiri sasa nini hiki kwenye screen....ubunifu
   
Loading...