Yo Yo Mhanga wa Mabomu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Yo Yo Mhanga wa Mabomu

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Masanilo, May 4, 2009.

 1. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #1
  May 4, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Kuna Tetesi kuwa baadhi ya wanaJF walikumbwa na matatizo ya mabomu, yaliyolipuka week iliyopita...mmoja wapo ni Yo Yo akiwa kwake Kinyerezi bomu liliangukia miguu yake na sasa anaendelea na matibabu Amana...mwenye taarifa za Yo Yo tafadhali....ama Mod Mumemfungia kimya kimya

  Masa & Bellies
   
 2. Binti Maringo

  Binti Maringo JF-Expert Member

  #2
  May 4, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 2,805
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0

  Shughuli ipo! wow...i like yor signature...

  And pole Yo yo hope all is well jamani...sasa mguu umekatika au?...kabla hujafa hujaumbika mweeh amekatwa na mguu....ndiyo disabled tena.Nenda kawa -sue
   
 3. AljuniorTz

  AljuniorTz JF-Expert Member

  #3
  May 4, 2009
  Joined: Jan 6, 2009
  Messages: 544
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Masa hebu fanya utafiti tuachane na tetesi hizi au undugu wenu na yo yo umekufa kwa kumnyatia shem wake Bellies?
   
 4. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #4
  May 4, 2009
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Mmh! Masihara kwenye utani...lol!
   
 5. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #5
  May 10, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  shem nipo still kicking...vile vijibomu haviwezi kunipata mie niko busy shem na 2010 huu ndio wakati kuanza kuzungukia vijijini....
   
 6. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #6
  May 11, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Hahahah mzee unagwa Tshirts na makapelo? ama unatafuta mgombea mwenza wa goal ya 2010...angalia wanatengeza bikira huko pia....!
   
 7. Next Level

  Next Level JF-Expert Member

  #7
  May 11, 2009
  Joined: Nov 17, 2008
  Messages: 3,159
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Kazi kweli kweli.....!
   
Loading...