Yeyote mwenye kazi, anisaidie nipo jijini Mwanza

Maliseli

Member
Jan 9, 2021
5
0
Habarini za kazi, mimi ni kijana wa miaka 23 mkazi wa Mwanza, naomba kwa yeyote mwenye kazi anisaidie kwani nimesota sana.

Elimu yangu ni Certificate ya Medical Attendant.

Natanguliza shukrani
 
Kama upo tayar nenda Ilemela shule ya msingi kuna hapo hapo kuna ofisi za mtendaji kuna tangazo LA kujitolea katika zahanati ya Ilemela.
 
Mcheki huyu jamaa fasta +255 693 816 143 Yupo Bwiru anatafuta mtu wa kumkampan kwenye maabara yake Anaitwa Dr. Alex
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom