Yeyote atakayeguswa na hii habari

salaam wana jamiiForum,,,mimi ni kijana niliye na akili TIMAMU....naomba msaada wa tsh 80,0000/=
ili niweze kulipa ada ya usajili chuo kikuu cha Dar es Salaam...mimi sio mlemavu,,nina uwezo
wa kutafuta pesa lakini naomba msaada nikiwa na akili zangu timamu,,,nina sababu maalumu
kuomba msaanda,,,yeyote atakaeona naigiza,,SITOKUBALIANA NAE,,,kuhusu maisha yangu ni story ndefu
kwa sasa niko DAR ES SALAAM,,,0658 204496 is my number

Mkuu samahani hapo kwenye red mbona kama sielewi hivi, ni sh. ngapi hizo?
 
Wewe ndo hujui kuomba msaada kabisa, unajieleza kwa kusitasita; unakwenda mbele halafu unarudi kisengerenyuma. Ndo tukueleweje? Huko serious wewe!
 
Mkuu funguka zaidi,we unafikiri nani atakuelewa kama unaomba msaada alafu unaongea kwa mistari isiyokuwa na vina?
 
Wanaoomba msaada huwa wanajipanga kmaneno kabla hata ya kuwasilisha.mkuu hapo kweli hujamshawishi mtu kwa lugha hiyo.funguka watu tukusome dezain
 
Back
Top Bottom