Yeyote aliyesoma certificate kisha akajiunga chuo kikuu na kupata degree ajisalimishe nitamtaja tu

Mpira wa kona

JF-Expert Member
Nov 25, 2016
350
338
Nikiwa mzalendo wa Nchi hii hasa kukunwa Na Serikali yangu Juu ya Vihiyo wa Elimu nimeamua kuwataja wale wote ninaowafahamu iwe Kwa kusoma nao au kufanya Kazi nao waliomaliza vyuo Kwa kutunukiwa Vyeti (CERTIFICATE) kisha kuhongo kwenye Vyuo Vikuu Na kukubaliwa kuchukua DEGREE Kwa kutumia Cheti cha CERTIFICATE. Kwa mfano kuna Mrasimu Ramani alimaliza Chuo cha Ardhi Tabora ngazi ya CERTIFICATE lakini Leo ana DEGREE ni Afisa Mipango Miji Chuo Kikuu cha Ardhi kinahusika.Pia kuna Fundi sanifu Upimaji alimaliza Chuo cha Ardhi Morogoro ngazi ya CERTIFICATE lakini Leo ni Afisa Ardhi mwenye DEGREE. Upumbavu huu sitauvumilia nitawataja Kwa Majina Na Sehemu wanakofanya Kazi.
 
Sawa unaweza kuwa sahihi kwa upande mmoja lakini pia kosa kwa upande mwingine kilichobora kama ungegundua mapungufu/madhara yake kiutendaji kwenye jamii inayohusika/inayomzunguka unaweza kuta yeye ni BORA zaidi na ana IMPACT kubwa kuliko wewe hata kukuajiri wewe, nachojua mm watu wa aina hii wana self initiative and determination na wako very commited kuliko nyie mnao rizika vipanga wapo wengi tu na hutaweza kumkwamisha kamwe (certificate to degree huyo ni genius kuliko wewe)
 
Mtu awe anapimwa kwa maximum qualification aliyonayo. Kama alipata degree yake kwa kupitia certificate na sasa ni rubani kwa mfano. Amerusha ndege zaidi ya masaa 1000 na hivi ninapoandika ujumbe huu yuko angani na abiria 350 anakatisha toka Kandahal kwenda Kunduz. Je unyang'anye degree yake huko juu?? Ebu tuwe na mawazo mapana na kufikiria mbali. Japan wao wanatoa vyeti kulingana na performance yako na wala si kwa elimu yako. Kuna wagunduzi kibao ambao hawakuwa na vyeti kabisa lkn mpka sasa tunasoma vitabu vyao kupata vyeti.
 
kweli kabisa
 
Nikiwa mzalendo wa Nchi hii hasa kukunwa Na Serikali yangu Juu ya Vihiyo wa Elimu nimeamua kuwataja wale wote ninaowafahamu iwe Kwa kusoma nao au kufanya Kazi nao waliomaliza vyuo Kwa kutunukiwa Vyeti (CERTIFICATE) kisha kuhongo kwenye Vyuo Vikuu Na kukubaliwa kuchukua DEGREE Kwa kutumia Cheti cha CERTIFICATE. Kwa mfano kuna Mrasimu Ramani alimaliza Chuo cha Ardhi Tabora ngazi ya CERTIFICATE lakini Leo ana DEGREE ni Afisa Mipango Miji Chuo Kikuu cha Ardhi kinahusika.Pia kuna Fundi sanifu Upimaji alimaliza Chuo cha Ardhi Morogoro ngazi ya CERTIFICATE lakini Leo ni Afisa Ardhi mwenye DEGREE. Upumbavu huu sitauvumilia nitawataja Kwa Majina Na Sehemu wanakofanya Kazi.
Mkuu lazma utakuw umeisoma namba.Unawaonea wivu wenzio wapo kweny ajira....huna jingine!
 
Nikiwa mzalendo wa Nchi hii hasa kukunwa Na Serikali yangu Juu ya Vihiyo wa Elimu nimeamua kuwataja wale wote ninaowafahamu iwe Kwa kusoma nao au kufanya Kazi nao waliomaliza vyuo Kwa kutunukiwa Vyeti (CERTIFICATE) kisha kuhongo kwenye Vyuo Vikuu Na kukubaliwa kuchukua DEGREE Kwa kutumia Cheti cha CERTIFICATE. Kwa mfano kuna Mrasimu Ramani alimaliza Chuo cha Ardhi Tabora ngazi ya CERTIFICATE lakini Leo ana DEGREE ni Afisa Mipango Miji Chuo Kikuu cha Ardhi kinahusika.Pia kuna Fundi sanifu Upimaji alimaliza Chuo cha Ardhi Morogoro ngazi ya CERTIFICATE lakini Leo ni Afisa Ardhi mwenye DEGREE. Upumbavu huu sitauvumilia nitawataja Kwa Majina Na Sehemu wanakofanya Kazi.
Kwani walisalimika kwenye lile zoezi la uhakiki wa vyeti?

Mzumbe imewapa wengi sana degree wakiwa na div 4 za form six kupitia wanachokiita foundation courses hivyo kama mama ndalichako atakuwa serious basi tujiandae kuwaandaa kisaikolojia ndugu zetu
 
Nikiwa mzalendo wa Nchi hii hasa kukunwa Na Serikali yangu Juu ya Vihiyo wa Elimu nimeamua kuwataja wale wote ninaowafahamu iwe Kwa kusoma nao au kufanya Kazi nao waliomaliza vyuo Kwa kutunukiwa Vyeti (CERTIFICATE) kisha kuhongo kwenye Vyuo Vikuu Na kukubaliwa kuchukua DEGREE Kwa kutumia Cheti cha CERTIFICATE. Kwa mfano kuna Mrasimu Ramani alimaliza Chuo cha Ardhi Tabora ngazi ya CERTIFICATE lakini Leo ana DEGREE ni Afisa Mipango Miji Chuo Kikuu cha Ardhi kinahusika.Pia kuna Fundi sanifu Upimaji alimaliza Chuo cha Ardhi Morogoro ngazi ya CERTIFICATE lakini Leo ni Afisa Ardhi mwenye DEGREE. Upumbavu huu sitauvumilia nitawataja Kwa Majina Na Sehemu wanakofanya Kazi.
Marufuku imepigwa mwaka huu 2016 kusoma Degree bila kufaulu form six....hii ina maana wote walioruhusiwa na vyuo husika kusoma hizo Degree bila form six walikuwa right kabisa na hawakuvunja sheria yoyote...hivyo kuanza kuwatolea macho mwaka huu huoni kwamba huwatendei haki???

Afterall mtu unakuwa professional unapo combine work experience with your qualification...do not base your arguments on only paper qualification....
 
Mtu awe anapimwa kwa maximum qualification aliyonayo. Kama alipata degree yake kwa kupitia certificate na sasa ni rubani kwa mfano. Amerusha ndege zaidi ya masaa 1000 na hivi ninapoandika ujumbe huu yuko angani na abiria 350 anakatisha toka Kandahal kwenda Kunduz. Je unyang'anye degree yake huko juu?? Ebu tuwe na mawazo mapana na kufikiria mbali. Japan wao wanatoa vyeti kulingana na performance yako na wala si kwa elimu yako. Kuna wagunduzi kibao ambao hawakuwa na vyeti kabisa lkn mpka sasa tunasoma vitabu vyao kupata vyeti.
Jirani zetu Wakenya yule dogo aliyekuwa anatoa tiba na kuzalisha wakina mama wakati ni kanjanja wanataka wakampe elimu rasmi ya udaktari
 
Nikiwa mzalendo wa Nchi hii hasa kukunwa Na Serikali yangu Juu ya Vihiyo wa Elimu nimeamua kuwataja wale wote ninaowafahamu iwe Kwa kusoma nao au kufanya Kazi nao waliomaliza vyuo Kwa kutunukiwa Vyeti (CERTIFICATE) kisha kuhongo kwenye Vyuo Vikuu Na kukubaliwa kuchukua DEGREE Kwa kutumia Cheti cha CERTIFICATE. Kwa mfano kuna Mrasimu Ramani alimaliza Chuo cha Ardhi Tabora ngazi ya CERTIFICATE lakini Leo ana DEGREE ni Afisa Mipango Miji Chuo Kikuu cha Ardhi kinahusika.Pia kuna Fundi sanifu Upimaji alimaliza Chuo cha Ardhi Morogoro ngazi ya CERTIFICATE lakini Leo ni Afisa Ardhi mwenye DEGREE. Upumbavu huu sitauvumilia nitawataja Kwa Majina Na Sehemu wanakofanya Kazi.

Ndugu ww sio mfatiliaji wa mambo. hao waliopitia ngaz ya chet wakaja kuchukua degree wanakuwa vizur sana kazin kuliko wale waliotoka fom 6. mm nipo chuo flan cha udaktar wale CO (clinical officerz) wapo vizur sana wanauzoefu wa mambo mengi kuliko ss tuliotoka fom 6 wanajua vitu vingi na wakati mwingine sisi tuna watumia wao kama walimu

ww fanya yako acha kufatilia mambo yasio kuhusu kwaiyo ukisha wataja unataka iweje?
 
Raha ya nchi hii kila awamu na style yake kwenye Elimu. Tumefika mahali tunaifanya Kama mchezo wa mpira kill kocha na mbinu yake. Sidhani Kama dunia ipo tulipo hatufikirii kuboresha tunafikiri kuangamiza. Leo foundation course hutaki Kesho sijui utakataa nini? Naimani hili jela la mawazo tukija kutoka watanzania itakuwa njema kwetu
 
sasa iv wengi wanaomba ajira wanaulizwa unauzoefu kazini wa muda gan sasa apo unakuta umetoka form 6 ukaingia chuo huja wahi piga kaz sehemu yoyote zaid ya field na yule unaemsema sema alisha piga kazi na anauzoefu mkubwa
 
Back
Top Bottom