Mpira wa kona
JF-Expert Member
- Nov 25, 2016
- 350
- 338
Nikiwa mzalendo wa Nchi hii hasa kukunwa Na Serikali yangu Juu ya Vihiyo wa Elimu nimeamua kuwataja wale wote ninaowafahamu iwe Kwa kusoma nao au kufanya Kazi nao waliomaliza vyuo Kwa kutunukiwa Vyeti (CERTIFICATE) kisha kuhongo kwenye Vyuo Vikuu Na kukubaliwa kuchukua DEGREE Kwa kutumia Cheti cha CERTIFICATE. Kwa mfano kuna Mrasimu Ramani alimaliza Chuo cha Ardhi Tabora ngazi ya CERTIFICATE lakini Leo ana DEGREE ni Afisa Mipango Miji Chuo Kikuu cha Ardhi kinahusika.Pia kuna Fundi sanifu Upimaji alimaliza Chuo cha Ardhi Morogoro ngazi ya CERTIFICATE lakini Leo ni Afisa Ardhi mwenye DEGREE. Upumbavu huu sitauvumilia nitawataja Kwa Majina Na Sehemu wanakofanya Kazi.