Anasema hayupo tayari kuhamia Lutheran.
Anadai abaki kwenye dhehebu lake na mimi nibaki kwenye dhehebu langu hata tutakapoingia kwenye ndoa.
Wakuu hali kama hii si kukaribisha migogoro ya hapo baadae?
Ushauri
Dini zenu ndo zina oana?Anasema hayupo tayari kuhamia Lutheran.
Anadai abaki kwenye dhehebu lake na mimi nibaki kwenye dhehebu langu hata tutakapoingia kwenye ndoa.
Wakuu hali kama hii si kukaribisha migogoro ya hapo baadae?
Ushauri
Kama mimi na weweSioni tatizo hapo mkuu, kama mnapendana fungeni ndoa kila mtu abaki tu na dhehebu lake. RC na Lutheran mbona tunachangamana tu
Sent using Jamii Forums mobile app