Yeye huwa analeta mwanaume nisipokuwepo!

LINCOLINMTZA

JF-Expert Member
Mar 15, 2011
1,639
516
Wanabodi,
Jana kulikuwa na kizaza mitaa ya kwetu.
Kijana anaishi na rafiki yake wa kike chumba kimoja wakiwa na mtoto tayari mwenye miaka mitatu.
Wao bado wanaitana wachumba aka 'girfriend and boyfriend' mpaka watakapofunga ndoa.
Kingine ni kwamba, wote ni wanafunzi wa vyuo ambayo inawafanya mtoto wao alelewe na bibi wa upande wa mwanamke.
Ijumaa, girfriend ameenda likizo kwa mwezi mzima. Jumapili, boyfriend kavusha mdada mwingine kwenye geto lao.
Baba mwenyenyuma mchuro, akaamua kuwavamia mchana kweupe kwa kugonga. Bahati mbaya, kumbe ulikuwa wakati wa mechi.
Kijana akafungua kwa kujiamini, lakini baba mwenye nyumba akaingia mpaka ndani. Kamkuta mdada aka girlfriend namba mbili yupo kama alivyoumbwa. Baba mwenye nyumba akawa amechukizwa na tabia ile na kuahidi kumwambia girfriend original.

Kijana alimwomba sana baba mwenye nyumba asimseme kwa girlfriend namba one. Sasa kichekesho kilikuja kwenye kujastify kwa nini asimwambie.

Kijana akasema,' hata yeye (girlfriend) alikuwa analeta mwanaume wakati jamaa alipokuwa likizo'

Hivi hii ni sababau kweli au ndo kukutwa kwenye kona unakosa cha kujitetea?
 
Huyo baba mwennye nyumba safi sana............hiko hiko chumba umempeleka mwajuma

usivyo na haya wala kujua vibaya unaenda na Anitha.......kamkomesha
 
Huyo mshenzi ningekuwa mimi ndie baba mwenye nyumba ningemkata makofi. Wenzake wakikamata vimeo wanamalizanavyo juu kwa juu. Home hapana peleka kimeo hiyo ni nuksi.
 
Huyo baba mwennye nyumba safi sana............hiko hiko chumba umempeleka mwajuma

usivyo na haya wala kujua vibaya unaenda na Anitha.......kamkomesha

Huyo mwenye nyumba alijuaje kuwa Anitha si mtoto wa shangazi yake baba mdogo kwa babu ambaye ni ndugu yake na bibi mzaa baba yake mama yangu wa kambo? na kukuru kakara zilizosikika toka ndani tulikuwa tunamtafuta panya?

Huyo mwenye nyumba kaingilia privacy kwa kweli na ni illegal
 
hahahahaaaaaaa mnatafuta panya uchi wa mnyama.......lol.......muache tu baba mwenye nyumba

kawaza mengi hivi haka kangekuwa kabint kangu halafu kanadanganywa hivi...kuingilia privacy

mara moja moja si mbaya.........
 
Mabinti zake walishamshinda siku nyingi anakuja kuingilia habari za mabinti wa watu.
Mi sitetei uovu lakini haiwezekani mi kodi nalipa uniingilie kiasi hicho aisee! How does one dare!
Hivi angekuta wanajisomea angesemaje?
 
Land lord wengine bhana, usikute na yey mwenyew ukiwa likizo anambanjua shemeji alaf anajifanya anijali sana ndoa yenu
 
Mabinti zake walishamshinda siku nyingi anakuja kuingilia habari za mabinti wa watu.
Mi sitetei uovu lakini haiwezekani mi kodi nalipa uniingilie kiasi hicho aisee! How does one dare!
Hivi angekuta wanajisomea angesemaje?

Angekuta wanasoma ingekuwa habari nyingine.....lakin hawakuwa wanasoma hapo

vijana wamezidi uzinzi ndio maana hata baba wenye nyumba wanaingilia...nyumba inakuwa

ka guest house....mi natamani BF wangu apange kwenye nyumba ka hiyo...
 
Pamoja na kwamba kitendo cha kijana ni cha kipuuzi....ila hata huyo baba mwenye nyumba ni mpuuzi sana..

Babu DC!!
 
hahaha Heaven on Earth kunaumuhmu wa kuptia vpengele vya mkataba vizur kabla hatujapangshana.
 
Last edited by a moderator:
babu Dark City hembu ongeo wewe mzee mwenzie. Sio kwamba landlord altaka kuona kipoch manyoya ya mjukuu kweli?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom