LINCOLINMTZA
JF-Expert Member
- Mar 15, 2011
- 1,639
- 516
Wanabodi,
Jana kulikuwa na kizaza mitaa ya kwetu.
Kijana anaishi na rafiki yake wa kike chumba kimoja wakiwa na mtoto tayari mwenye miaka mitatu.
Wao bado wanaitana wachumba aka 'girfriend and boyfriend' mpaka watakapofunga ndoa.
Kingine ni kwamba, wote ni wanafunzi wa vyuo ambayo inawafanya mtoto wao alelewe na bibi wa upande wa mwanamke.
Ijumaa, girfriend ameenda likizo kwa mwezi mzima. Jumapili, boyfriend kavusha mdada mwingine kwenye geto lao.
Baba mwenyenyuma mchuro, akaamua kuwavamia mchana kweupe kwa kugonga. Bahati mbaya, kumbe ulikuwa wakati wa mechi.
Kijana akafungua kwa kujiamini, lakini baba mwenye nyumba akaingia mpaka ndani. Kamkuta mdada aka girlfriend namba mbili yupo kama alivyoumbwa. Baba mwenye nyumba akawa amechukizwa na tabia ile na kuahidi kumwambia girfriend original.
Kijana alimwomba sana baba mwenye nyumba asimseme kwa girlfriend namba one. Sasa kichekesho kilikuja kwenye kujastify kwa nini asimwambie.
Kijana akasema,' hata yeye (girlfriend) alikuwa analeta mwanaume wakati jamaa alipokuwa likizo'
Hivi hii ni sababau kweli au ndo kukutwa kwenye kona unakosa cha kujitetea?