Yesu wa Kenya adai kuwa watu 168,000 tu duniani ndo wataingia mbinguni

Ni wakweli au sio wa kweli Mungu alie mtuma ndo anaejua, wakiristo wa Tanzania changamkieni hu unabii wa uenda ni mkweli mkawa taifa teule.

YESU WA BUNGOMA NCHINI KENYA ASEMA WATU 168,000 WATAENDA MBINGUNI

Yesu wa Bungoma azidi kuzua gumzo baada ya kudai kwamba watu 168,000 pekee ndio watakaoenda mbinguni duniani kote.

Kulingana na Yesu huyo pia ni kwamba watu wawili pekee kutoka Nairobi ndio watakaofanikiwa kuingia mbinguni.

Nini maoni yakoView attachment 2504024View attachment 2504025
Aisee
Kwenye hiyo orodha naona kawaweka watu wa kutoka ukoo wake.


Wengine tutaishia hapa hapa aisee🤣
 
Tuamini nini ikiwa Yesu mwenyewe alisema watatoke kina yesu wa uongo? Kuna yesu wa urusi aliyeitwa tirop, kuna mwingine alitokea amerika ya kusini, haya tena katokea kenya mwingine. Tena huyu wa kenya hana vigezo vya uyesu. Huyu wa kenya ana mke. Watu hawana aibu wamefikia hatua ya kujiita mitume, manabii, makerubi, maserafi, makuhani, malaika na mungu, wapumbavu wasiosoma maandiko matakatifu wanawaamini

 
Hapo sisemi kwamba yupo sahihi ila naona hio ni makadirio mazuri maana hamna kitu kigumu kama kujisacrifice kwa ajili ya yesu mwokozi ni ngumu sana hata mimi nilishawahi kuota kwamba Arusha watu 2 tu ndo watakao nyakuliwa hivyo namwamini kwa Percent fulani huyu jamaa

Kama mnabisha subirieni kiama mtaona cha mtema kuni tu

Na log on
Mazuzu mmekutana unajua idadi ya watoto wadogo wanao kufa chini ya miaka 4 ...je unajua idadi ya mataahira wanao zaliwa hivyo na kufa hivyo je hao unadhani wana hatia mbele za huyo mungu wako wa mchongo l...kwakutumia akili ya kawaida tu huyo jamaa ni muhuni tu kama tujuavyo watoto wadogo wote wanao kufa utotoni na watakao kuwepo siku ja kiama wote ni watakatifu wa peponi
 
Mazuzu mmekutana unajua idadi ya watoto wagogo wanao kufa chini ya miaka 4 ...je unajua idadi ya mataahira wanao zaliwa hivyo na kufa hivyo je hao unadhani wana hatia mbele za huyo mungu wako wa mchongo l...kwakutumia akili ya kawaida tu huyo jamaa ni muhuni tu kama tujuavyo watoto wadogo wote wanao kufa utotoni na watakao kuwepo siku ja kiama wote ni watakatifu wa peponi
Wewe wapi pameandikwa hivyo?
 
Dunia haiishi vituko, yule jamaa anaye dai kuwa yeye ndo Yesu aliye rudi kutoka mbinguni amedai kuwa ni watu 168,000 pekee duniani ndo watafanikiwa kuingia mbinguni, aidha ameongeza kuwa kwenye jiji la Nairobi ni watu 2 tu ndo wataingia mbinguni wengine wote wataenda motoni.View attachment 2504093
Ndugu zangu nafurahi kuwaambia katika hao watu 168,000 na mimi nimo na nimeshachagua Seat yangu ni ya dirishani kuume Kwa Baba.

Asanteni#
 
Huyu yesu wa bungoma Kenya anaongea kiswahili cha Kenya. Mke wake nae anaongea lafudhi ya kiswahili cha Kenya. Kimsingi huyu si yesu halisi, ni maigizo tu kwa kuwa kwenye ukristo kuna uhuru mkubwa wa kuabudu hata sanamu bila kutangaziwa fatwa, watu wamejiita majina yote matakatifu yamewaishia wameamua kujiita jina kuu la Mungu wala hakuna wa kuwabughudhi.

Soon wameanza na upande wa shetani, wameibuka wafuasi wa shetani na wanamtetea shetani kwa hoja zote. Tusishangae akaibuka mtu anayejiita shetani huku akitutukuzwa na wafuasi wake.
 
Nawewe utajikuta kwenye vita ya maneno utakuja kuuliwa na David hivo hivo, mpaka utowe ushahidi kutoka bibulia kwamba huyu ni Yesu batili bila hivo utaaminika
Uandishi wako tu pekee unanikubusha mstari wa biblia unaosema "nao watawadanganya wengi"ss ww ni miongoni mwao hao wengi walotajwa hapo,af inabid ututajie na wenzio,maana biblia inasema MTAANGAMIA KWA KUKOSA MAARIFA
 
MK254 kumbe yesu kasharudi yupo huko kwenu kenya hata hatuambiani we kazi kuwapikia majungu waislam kwenye thread za vita ya Ukraine/urusi utadhani labda hiyo urusi unayoichukia ni nchi ya kiislam,,,
Kwa roho mbaya yako na majungu mbingu utaisikia kwenye Bomba,, Kenya nzima wanaenda wawili tu,,,,
 
Back
Top Bottom