Yesu alipogundua NGURUWE ni KICHEFUCHEFU aliwaangamiza

Quran inasema ukifa kwa njaa umepata dhambi, pia inaruhusu kula nguruwe halafu unaruhusiwa kuungama hy dhambi.
Yani kwenye Uislamu unaruhusiwa kutenda dhambi halafu ukaungama.
Hiyo ni dharau,

Hata mtu muovu anaweza kuliwa kunusuru watu wema.
 
KWA NINI SHERIA YA WAKRISTO WA DHEHEBU LA SDA SEVENTH DAY WASABATO, WANAKATAZA KULA NYAMA YA NGURUWE KAMA SHERIA YA UISLAMU?

Je ni WASABATO peke Yao Ndio walio Liona Andiko hili

ISAYA 66-17 (BNL BIBLE) Mtu yule Ajitakasae na Uketi Katika sehemu ya mafucho, na Kusema Ametakasika Kisha Anakula Vyakula vya Machukizo Nguruwe na Panya, Atakoma Jahannamu Asema Yohova.

Je Wakristo wa Madhehebu mengine awalioni Andiko la BIBLIA la ISAYA 66-17??

Je ni WASABATO peke Yao Ndio Wameliona Andiko Hili

WALAWI 11-7 Nguruwe Yeye ni Najisi kwenu,msiile Nyama yake Wala kugusa Mzoga wake Hao ni Najisi

JE WAKRISTO WA DHEHEBU lingine hawalioni Andiko la WALAWI 11-7 ?

YESU ALIPO GUNDUA NGURUWE NI KICHEFU CHEFU ALIWAANGAMIZA

MARKO 5-10-15 Yesu Akawaamgamiza Kwa kuwaua Nguruwe wapatao 2000.

SASA HAYA MADHEHEBU YANAYO JIITA YA KILOKOLE YANAFUATA ANDIKO GANI LA KULA NYAMA ZA UNAJISI?

JE NI KANUNI ZAO BINAFSI?

JE NI AMRI YA NANI? MUNGU,YESU AU PASTA?

Leteni Andiko Yesu karuhusu ?

PAULO ANAWAAMBIA WAKRISTO WALE CHOCHOTE KINACHO UZWA SOKONI WASIULIZE ULIZE MASWALI

1 Wakorintho 10:25 (KJV) Kila kitu kiuzwacho sokoni kuleni, bila kuuliza-uliza.

Kwa Mujibu wa ANDIKO hili Paulo ANARUHUSU watu wale Vyakula hata vya Haramu

Sasa Paulo Anatoka Agizo Hilo Kwa maagizo ya Mungu au? Jibu ni hili

2 Wakorintho 11:17 (KJV) Ninenalo silineni agizo la Bwana, bali kama kwa upumbavu, katika ujasiri huu wa kujisifu.

KUMEKUCHA KUMBE NI KWA AJILI YA KUJISIFU..

YESU Anatutolea Mfano wa watu ambao wanatazama maneno ya Mungu Alafu wanayakataa,ANASEMA

Mathayo 13:13 (KJV) Kwa sababu hii nasema nao kwa mifano; kwa kuwa wakitazama hawaoni, na wakisikia hawasikii, wala kuelewa.

Baasi watu Hawa hata tuwaoigie filimbi awasikii wamezibwa Masikio na macho awaoni Haki.

Na QURAN INASEMA

إِنَّ الَّذِينَ كَفَرُوا سَوَاءٌ عَلَيْهِمْ أَأَنْذَرْتَهُمْ أَمْ لَمْ تُنْذِرْهُمْ لَا يُؤْمِنُونَ

Hakika wale walio kufuru ni sawa kwao ukiwaonya au usiwaonye, hawaamini.

Kisha Mungu AKASEMA Tena

خَتَمَ اللَّهُ عَلَىٰ قُلُوبِهِمْ وَعَلَىٰ سَمْعِهِمْ ۖ وَعَلَىٰ أَبْصَارِهِمْ غِشَاوَةٌ ۖ وَلَهُمْ عَذَابٌ عَظِيمٌ
Mwenyezi Mungu amepiga muhuri juu ya nyoyo zao na juu ya masikio yao, na juu ya macho yao pana kifuniko. Basi watapata adhabu kubwa "Katika Moto wa Jahannam" (Quran 2-6-7)

WANAO SILIMU NI WENYE AKILI TU

KARIBU KATIKA UISLAMU
Nafuata mafundisho ya biblia na bibilia imekataza ulaji wa nguruwe na wanyama wengi tu..ila kuhusu kuwa muislam siwezi kusilimu maisha.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe unasemwa na watu wa mtaa unakonda unawehuka unakufa .

Nguruwe anasemwa Sana na Kina mudi wavaa vipedo na still yupo hai.



Ni hivi Nguruwe doesn't give a damn about you Mfkin Muslims Wavaa vipedalists anazidi kunawiri tuu na kuwa mtamu kila siku .


Muhudumu tembeza bia nne nne KWA kila aliyepo kwenye hii meza plus kitimoto rosti ya elfu hamsini na name Isikauke Sana pilipili kama yote pia usisahau Ndizi za kukaanga
 
Utumwa tunaoulaani ulianzishwa na mreno huko Congo(brazaville),1400s,akawapeleka kwenye mashamba ya miwa,wazungu wengine wakafuata,biashara ikanoga,mwarabu naye akawa mtu wa Kati huku afrika mashariki,miaka 400 baadae
Hao wakoloni walaaniwe kabisa kwa ukatili na udharirishaji waliowafanyia babu zetu
 
Mapepo ndio yaliomba yaende kwa nguruwe. Maeneo ya galilaya walikuwa wanakaa gentiles hivyo ufugaji ulikuwa sawa.

Tatizo ni kwamba wewe mvaa kobazi na vipedo hujui chochote kuhusu tafsiri sahihi ya biblia. Unatoka na tafsiri za misikitini.
Andiko liko wap juu ya hayo ??
 
Tuonyeshe kwenye kitabu chenu palipoandikwa wewe mwislamu uue watu wa imani nyingine?. Kinachoendelea huko Nigeria kwa waislamu kuua wakristo ni sahihi?.
Ni sahihi yoyote anaemtukana mtume na Allah hukum ya kuuwawa Tu hata kama akitubia na madai mungu hapiganiw ni ya kijinga ,mfano mm nakutana na wewe namtukana babaako au mamaako lazma wewe utachukua action kutetea heshima ya mzaz wako hutosema ngoja nikamuite Baba au mama nyumban aje apigane na wewe
 
Huyu mwandishi wa hii mada ni Mwislamu mmoja wa Facebook anaitwa Abdillahsalami Horace ni Moja Kati ya waislamu wajinga sana na hii inanifanya niuzarau uislamu Kwa ajili yake
Jibu hoja Acha uzwazwa ewe 'kondoo' WA bwana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom