Yes it is my Birth Day Akili Unazo!!12.12.2013

Akili Unazo!

JF-Expert Member
Feb 18, 2009
3,930
4,893
Wakuu siku ya tarehe kama ya leo miaka dahali iliyopita Mr. Akili Unazo!! aliweza kuzaliwa salama kutoka tumboni mwa mama yake.
Hivyo.Mr Akili Unazo! anapenda kuchukuwa fursa hii kuwaalika greater thinker wote kujumuika naye katika siku ya ukumbusho kama hii pia anapenda kuwafahamisha kuwa kwa yeyote anayejisikia kumzawadia chochote mpendwa wetu huyu anaweza kuwasiliana naye kwa PM ili aweze kuwasiliana njia ya kufikisha zawadi husika.

Happy Birth Day Akili Unazo!!
CC:Chaminglady,Fidel08,Mwanajamione,Asprin,Next Level,Invisible,Mwakalinga R...
 

Attachments

  • 1470932_327506637388735_1458231717_a.jpg
    1470932_327506637388735_1458231717_a.jpg
    7.1 KB · Views: 158

Similar Discussions

Back
Top Bottom