Yerusalemu Iwe makao Makuu wa Palestina - Serikali ya Tanzania

Hawa nao wakikosaga vitu vya kuongea kwenye hotuba ndio huwa wanaweweseka namna hii!

Mkuu heshima mbele, haya mambo mengine mimi huwa ninasema bora kunyamaza tu, na kuwaachia wakubwa wa dunia waamue, I mean as if kuna mtu duniani anajali msimamo wetu kuhsu Palestina,

Hawa kina Marmo, hawa yaaani ni vichekesho tu basi si angemuachia tu Membe haya, angalau maana waziri wa ofisi ya rais na usalama, anahusika vipi Palestina!

Bongo bwana yaani huu ujiko wa siasa utatufikisha mbali sana!

Hii nchi ina vituko vingi. Kwani huyu jamaa kuna mtu alimshikia bomu au bunduki hadi akaongea huu upuuzi?
 
Hiyo kauli ni yake peke yake asituingize kwenye laana bure.

Hakika na imrudie kichwani pake mwenyewe, hana maana kwa taifa huyu mzee, hizi ndizo hasara za kuruhusu akili ndogo kuongoza akili kubwa.. Nashukuru hadi sasa sijatoa tusi kwa huyu mzee Marmo anayezeeka vibaya
 
Ujinga wa viongozi wa nchi kutoa matamko ya kipepo namna hii.

Ndiyo maana twasema nchi ina laana hii, tangu tumeanza kuwakumbatia Palestina tulishafaidika na nini zaidi ya nchi kuendelea kuzaa mazombi tu kila siku, maliasili, Madini, vinaibiwa kila kukicha tunaendelea kutoa matamko ya kipuuzi!
 
Hivi huyu Marmo kafia wapi? hii ndio laana waipatayo wanaoilaani Israel.

I support Israel wanaijuwa lugha ambayo magaidi wanaisikia loud n clear.
 
Hiyo ni sawa sawa na kusema tuwape Waganda mkoa wa Kagera ili tuishi kwa amani na jirani zenu which is insane and completely ridiculous,Jerusalem will never be given to Palestine, It's as holy place to Christians as Mecca and Medina is to Muslims.

Unajua waisrael walitoka wapi kuja hapo?
 
Hivi huyu Marmo kafia wapi? hii ndio laana waipatayo wanaoilaani Israel.

I support Israel wanaijuwa lugha ambayo magaidi wanaisikia loud n clear.

Tatizo lenu mnafikiri wanaouwawa kule Palestine ni Waislamu tu kumbe hata wakristo manauwawa.

Wayahudi hata Yesu wanamkataa wanasema ni mtoto wa zinaa leo hii wakristo mnacheza mziki msioujua mnasikitisha sana....

MUNGU SIO MZUNGU.
 
Netanyahu anaendesha Crimes against humanity, maelfu ya watoto na wanawake wanauawa kila siku! JKN alisimama kidete kukataa dhulma waliyokuwa wanafanyiwa Wapalestina... Tukiamua kama nchi kuwapatia hifadhi ya kudumu kutakuwa na tatizo gani? Mbona kule Tanga na Bagamoyo tumewahifadhi watu wa mataifa waliokuwa wananyanyaswa na kubaguliwa?...
nyie subirini tu tunaweza kuamkua kutoa kawilaya kamoja kawe ka wapalestina..
 
Jerusalemu si ni mji wa Daudi? Sasa Daudi alikua nani au kabila gani?
 
by Boko haram

MUNGU SIO MZUNGU.



Kwahiyo wewe Boko haram Mungu ni Mwarabu?
 
Last edited by a moderator:
Mambo ya Ngoswe mwachieni Ngoswe. Tangu mzaliwe hawa jamaa wanapigana na hadi mtakapokufa watakuwa wanaendelea kupigana. Hebu tutatue matatizo yetu ya ndani na tuachane na matatizo yasiyotuhusu bali ni ku-divert attention tu kwa maswala mazito ambayo yanalikumba hili taifa la walafi wanaofilisi kodi za walala hoi.
 
yenu ya katiba yamewashinda,mtaweza ya palestina na israel?kwani Palestina hawawezi kuitumia jerusalem mashariki kuwa makao makuu ya palestina?waisrael waliwakuta wapalestina pale hata vitabu vimesema hilo.
 
Ungekuwa na akili ungewasupport wakristo wenzio wanaosunbuliwa huko Iraq kuliko kuwakingia kifua hao Jews ambao hata huyo Mungu wako wanamuona kama mjusi tu...

Mkuu Granta umesema kweli hawa watu ushabiki unawasumbua sana hawajui hata kinachoendelea Palestine.

MUNGU SIO MZUNGU.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom