Yeriko Nyerere saidia CHADEMA yako au CUF, achana na CCM

mkongobest

Member
Aug 28, 2016
73
28
Achana na unafiki wako, ya CCM hayakuhusu we shughulika na noma yako. Biashara ya sijui nani kamchana nani temana nayo unatia aibu ujue.

Si ukahangaike na CUF bara na Visiwani? CCM ilisha kushinda umebakia umbea tu.

FB_IMG_1490776510655.jpg
 
Fala sana hana jipya wahanga wa vyeo aliahidiwa ukuu wa Wilaya hana tofauti na yule aliekuwa ameahidiwa mambo ya nje kilipo nuka akarudi CCM, kale kaliko kosa tenda ya parking system kaliahidiwa mwenyekiti wa chama kametulia vibaya ka vile hakapo ,mgejuuu nae alikuwa apewe uspika wameshikwa pabaya kweli aibu ya binadamu ipo duniani
 
Japokuwa ni mnafiki kwenye mambo ya siasa, lakini kuna wakati anachangamsha jukwa
 
Back
Top Bottom