Yericko Nyerere: Polepole angekuwa CHADEMA tusingemvumilia, haiwezekani kiongozi kukivua nguo chama hadharani. Nape ni kiongozi

Yericko Nyerere anasema Nape Nnauye ndio Kiongozi wa mwisho kijana kuongoza CCM ambaye chama kilimuandaa hawa UVCCM wengine wanaoongoza wameokotwa okotwa tu mitaani hawana nidhamu wala heshima

Yericko anasema kwa mfano Polepole alikuwa ni Kiongozi mkubwa sana ndani ya chama na anajua siri nyingi kama siyo zote sasa kutoka hadharani na kuanzisha Chuo cha kukichamba chama chake ni uchizi na ujuha uliopitiliza.

Source: Medani za Siasa Star tv

Kipindi kinaendelea.......
HAKUNA WA KUMFUKUZA POLEPOLE CCM WAMEUFYATA
 
Kwa hiyo Yeriko anaionea uchungu CCM kwa hicho anachosema Polepole! Kama kweli Polepole anakivua nguo chama chake basi Yeriko angekuwa anafurahi. Anaielekeza CCM kiongozi gani alikuwa mzuri kwao!
 
Huyu naye siku hizi hajulikani kama yupo CCM au Chadema. Naona kama ana jisogeza taratibu!!
 
Yericko Nyerere anasema Nape Nnauye ndio Kiongozi wa mwisho kijana kuongoza CCM ambaye chama kilimuandaa hawa UVCCM wengine wanaoongoza wameokotwa okotwa tu mitaani hawana nidhamu wala heshima

Yericko anasema kwa mfano Polepole alikuwa ni Kiongozi mkubwa sana ndani ya chama na anajua siri nyingi kama siyo zote sasa kutoka hadharani na kuanzisha Chuo cha kukichamba chama chake ni uchizi na ujuha uliopitiliza.

Source: Medani za Siasa Star tv

Kipindi kinaendelea.......
Rubbish, hilo genge la magaidi nalo ni chama au utopolo.
 
Yericko Nyerere anasema Nape Nnauye ndio Kiongozi wa mwisho kijana kuongoza CCM ambaye chama kilimuandaa hawa UVCCM wengine wanaoongoza wameokotwa okotwa tu mitaani hawana nidhamu wala heshima

Yericko anasema kwa mfano Polepole alikuwa ni Kiongozi mkubwa sana ndani ya chama na anajua siri nyingi kama siyo zote sasa kutoka hadharani na kuanzisha Chuo cha kukichamba chama chake ni uchizi na ujuha uliopitiliza.

Source: Medani za Siasa Star tv

Kipindi kinaendelea.......
Kwa kweli mie nina shangaa sana kuwa hajachukuliwa hatua mpaka leo.

Yeye yumo chamani. nakama chama kinakosea basi ende kwenye vikao na kutowa mawazo yake.
yeye yuomo bungeni kama serikali inaboronga ende bungeni kuelezea misimamo yake. Azuie bajeti zisipite .

Siyo kupiga kelele ovyo.
Wakupiga kelele huku nje ni ambaye hayumo bungeni na hayumo katika chama kinacho ongoza serikali.
 
Yericko siasa wapi na wapi wewe tafuta hela ya kula tu na kuuza tuvipeperushi twako twa kusoma watoto wa darasa la pili, humuwezi hata robo komredi Polepole, hangaika na SACCOS yako ili mumutoe ndani gaidi wenu. Mnarukaruka tu utadhani chura aliyemwagiwa chumvi.
Naona sindano imekuingilia pabaya bwashee
 
Polepole aka mzee wa vieteee ni muhuni mmoja hivi...na ndani ya CCM wapo wengi tu.

Sasa wahuni wenzake wamevunja getto wakakomba wanavyovitaka...ati anamlilia Mungu...Leo ndiyo kajua Mungu yupo eee !!
 
Kwa sababu Nape alikuwa anafanya deal ya Bao la mkono na Mbowe.

Huyu Yeriko ni uzao wa ufisadi hana jipya zaidi ya kuganga njaa tu.
 
Polepole bado yupo kweli? Maana kadri anavyoona kina Ndugai wanashughulikiwa anazidi kuwa mdogo kama punje ya sukari
 
Yericko Nyerere anasema Nape Nnauye ndio Kiongozi wa mwisho kijana kuongoza CCM ambaye chama kilimuandaa hawa UVCCM wengine wanaoongoza wameokotwa okotwa tu mitaani hawana nidhamu wala heshima

Yericko anasema kwa mfano Polepole alikuwa ni Kiongozi mkubwa sana ndani ya chama na anajua siri nyingi kama siyo zote sasa kutoka hadharani na kuanzisha Chuo cha kukichamba chama chake ni uchizi na ujuha uliopitiliza.

Chanzo: Medani za Siasa Star tv

Kipindi kinaendelea.
Kazi indeleee chochea chochea kuni😀😄
Sukuma GANG kama nawaona wanatamani kumteka Yeriko.
 
Ni sawa kabisa maana CHADEMA mawazo ni atoe Lisu na Mbowe tu!

Wengine wakitoa maoni yao wanaambiwa sumu haionjwi kwa kuramba.
Muulize Zitto kilichomkuta.
Chama la magaidi ni madikteta wanajulikana
Sisi kazi yetu ni moja tu ,kuwaputisha mchanga na kuwacholea mstari MaCCM mraruane.
Sukuma GANG mlivyokosa hekima mnajaa kweli kweli na Samia anawafanya vibaya mno😀😄😀
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom