Bambushka
JF-Expert Member
- Jan 9, 2020
- 3,956
- 7,209
Baharini akipiga mbizi au akifanyeje??Enzi ya dikteta huyo Jaji sahivi angekuwa baharini
Baharini akipiga mbizi au akifanyeje??Enzi ya dikteta huyo Jaji sahivi angekuwa baharini
Kwenye mfukoBaharini akipiga mbizi au akifanyeje??
Ndio maana mara zote nasema Siroashtakiwe kwa km utumia vbaya madaraka na matumizi ya hovyo ya pesa za ummaLeo tarehe 1/4/2022 nimeshinda kesi ya Rufaa Nambari 125 ya Mwaka 2021. Chini ya Judge Amir Mruma. Mahakama imetengua hukumu ya kesi namba 188/2017 iliyotolewa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu chini ya Hakimu Kasian Natembele. Mahakama imeagiza kurejeshwa gharama zote zilizolipwa nk.
Nashukuru sana jopo la mawakili wabobezi wakiongozwa na wakili msomi Peter Kibatala na jopo lake. Haki imetendeka
Katika hoja za Mahama Kuu
1. Statements uttered and published hazi-amount to seditious statements.
2. Ushahidi uliotumika na Mashtaka na kupokelewa na Mahakama ya Kisutu (Hakimu Victoria Mwaikambo) (simu na Ipad na report ya Uchunguzi wa Cyber) zimekuwa expunged for failure to comply na mandatory requirement of being read aloud in Court (hazikuoneshwa Mahakamani kwa mujibu wa sheria).
3. The prosecution failed to prove how such statements amounted to “uchochezi”, and that whatever that was uttered and published was political statement in a secular state that enshrines the bill of rights and other ratified international instruments.
4. The caution statement (Maelezo ya onyo ya Yericko aliyoandikwa Police) did not amount to confession rather inference.
Judge karejea uamuzi wa Rufaa Case ya Mbowe (ile Rufaa baada ya kuhukumiwa Kisutu kulipa fine na hatimaye Mahakama Kuu, Judge Mgeta Irvin kuamuru fine zote zirudishwe na kutengua hukumu yote ya Hakimu Simba) uliosema Nchi inayojinafasi j
Inaamini Demokrasia lazima iwe na uvumilivu kuhusu haki za watu za Kikatiba na zilizomo Mikataba mbalimbali tulisaini
Pia kasema, Prosecution walileta mashahidi polisi tu, na hata hao police hakuna hata mmoja aliyesema “alichocheka” vipi na hizo statements.
Hizi kesi zinazopewa ushindi sasa hivi wala siyo za kushangilia kuwa umeshinda ni sawa na yanga kushangilia sana kuifunga timu ya daraja la pili, sasa hivi zinatolewa kesi zote zisizo na manufaa kwa umma hivyo zote hamna ushindi wanapunguza mashauri mahakamani tu hapo msijisifu mmeshinda ni sawa tu na mbowe na walinzi wake wasingetoboaLeo tarehe 1/4/2022 nimeshinda kesi ya Rufaa Nambari 125 ya Mwaka 2021. Chini ya Judge Amir Mruma. Mahakama imetengua hukumu ya kesi namba 188/2017 iliyotolewa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu chini ya Hakimu Kasian Natembele. Mahakama imeagiza kurejeshwa gharama zote zilizolipwa nk...