Yeboyebo Hizi, duh!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Yeboyebo Hizi, duh!!!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Jimmy Romio, Nov 25, 2011.

 1. Jimmy Romio

  Jimmy Romio JF-Expert Member

  #1
  Nov 25, 2011
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 253
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 45
  Hivi jamani dada zangu hizi rasta za mnazosuka mistari ya twende kilioni style huwa zinabadilishwa baada ya mda gani. Nauliza hivi kwa sababu wengi ninaopishana nao huwa unakuta zinatoa uvundo kweli. Kama basi mtu kaka kiti cha mbele yako kwenye daladala utajuta. Na haka kajoto kalivyokolea ni balaa tupu. Asinyeshewe mvua. lo..lo.. loh..! SAMAHANINI LAKINI.
   
 2. Binti Magufuli

  Binti Magufuli JF-Expert Member

  #2
  Nov 25, 2011
  Joined: Apr 2, 2011
  Messages: 7,455
  Likes Received: 756
  Trophy Points: 280
  Nywele zinasukwa elfu 20-30 unategemea afumue baada ya wiki moja usawa huu??? Me ndo maana nimebaki na nywele fupi....mambo gani ya kusuka nywele zikae kichwani mwezi na nusu to 2months bila kichwa kuwekwa maji!!!!! wengine hukaa hata miezi 6 na nywele ukiuliza hapo ameosha nywele mara 3 toka asuke. hata kiafya sio nzuri............ Mwanamke mazingira...usafi muhimu
   
 3. Akthoo

  Akthoo JF-Expert Member

  #3
  Nov 25, 2011
  Joined: Nov 5, 2007
  Messages: 584
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 60
  Kwa mwingine amenambia amesuka Rasta ndogo ndogo kwa elfu 70!
  Basi sijui atafumua lini; Kazi ni kwako! Ndio maana hawaachi kujikuna vichwa!
   
 4. ldd

  ldd JF-Expert Member

  #4
  Nov 25, 2011
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 792
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  uwa znaboa sana kwenye game asa kifo cha mende style!
   
 5. Binti Magufuli

  Binti Magufuli JF-Expert Member

  #5
  Nov 25, 2011
  Joined: Apr 2, 2011
  Messages: 7,455
  Likes Received: 756
  Trophy Points: 280
  Hahahahahahahaha yani wanawake me hata sijui niseme nini....,,hata kama na mm ni m/ke lakini penye ukweli lazima usemwe..... sasa mbona sioni wanawake wenzangu hapa kutoa comments zao???
   
 6. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #6
  Nov 25, 2011
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Jamani mbona zinaoshwa?!
   
 7. daughter

  daughter JF-Expert Member

  #7
  Nov 25, 2011
  Joined: Jun 22, 2009
  Messages: 1,274
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  wewe yebo zinaoshwa sana na kukaushwa vizuri na zinarudi upya
   
 8. mpoleeee

  mpoleeee JF-Expert Member

  #8
  Nov 25, 2011
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 310
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kwamba wote zinatema siamini. Sema dem wako mchaf kichwan kama vip anyoe ka mm.
   
 9. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #9
  Nov 25, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  Hadi kichefuchefu bora umesema..
   
 10. Jimmy Romio

  Jimmy Romio JF-Expert Member

  #10
  Nov 25, 2011
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 253
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 45
  zile sehemu zilizopitiwa na mistari zinao
  shwaje? au mnachokonoa kwa tooth pick au pamba za maskioni? zikiwa safi na zimesukwa vimistari viduchu duchu ni tamu sana
   
 11. Jimmy Romio

  Jimmy Romio JF-Expert Member

  #11
  Nov 25, 2011
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 253
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 45
  sabini!!! duh! alafu mchana anashindia maji!
   
 12. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #12
  Nov 25, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  Max 2 weeks kukaa na yeboyebo.
   
 13. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #13
  Nov 25, 2011
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Hebu tembelea saluni za maana utajua. Acha za Mwenge Dada karibu usuke au Ilala kwa wamasai
   
 14. fabinyo

  fabinyo JF-Expert Member

  #14
  Nov 25, 2011
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 2,084
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  hizo hata miezi 6,nawaona huku mtaani
   
 15. daughter

  daughter JF-Expert Member

  #15
  Nov 25, 2011
  Joined: Jun 22, 2009
  Messages: 1,274
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  yebo 2 weeks sawa,rasta za kusokota mwezi
   
 16. CtVKiLaZA

  CtVKiLaZA JF-Expert Member

  #16
  Nov 25, 2011
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 305
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Sio wote wanao kumbuka kuziosha. wengine zinatoa uvundo na njasho la DSM. Usiombe ukutane nao kwenye daladala
   
 17. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #17
  Nov 25, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  Kweli kabisa, za kusokota ukikaa nazo sana kwanza zinakata nywele za mbele.

   
 18. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #18
  Nov 25, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,147
  Likes Received: 2,465
  Trophy Points: 280
  nimarufuku demu wangu kwenda kwa wamasai bora nimsuke mwenyewe.
   
 19. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #19
  Nov 25, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,223
  Trophy Points: 280
  hapa hapafai, napita tu
   
 20. TNA

  TNA Member

  #20
  Nov 25, 2011
  Joined: Aug 24, 2011
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hahah na usiombee umkute wamemzunguka kichwa kimefichwa na mapaja yao..
   
Loading...