Ushauri: Yearning for love

ushauri wangu ni kuwa kama ana gari basi alipaki kwanza
atumie daladala kwa shughuli zake za kila siku....hasa kwenda na kurudi kazini
hapo atakuwa anakutana na watu weengi kila siku
na wale waoga wa mwanamke mwenye mafanikio watajitokeza pia...
apunguze makeke ya pesa na kwenda shule....


Ushauri wako mzuri mkuu, lakini hapo kwenye daladala duuuh...kama hana experience ya kuingiza kupitizia madirishani si itakuwa kasheshe
 
Moderators vipi mmeondoa comment yangu, hebu nielezeni kwanini?

Acheni ujinga wenu, mkiendeleza ujinga wenu tawawachieni forum yenu mbaki na wajinga wasio jua kuongea :violin:
 
Nilisahau pia mtu anaenda shule kusoma, sio kufuta watu walicho kisema, ukitaka kufuta lazima ufute kwa elimu, toeni point wapi nimekosea mpaa mkakimbilia kufuta comment yangu :violin:
 
Amshirikishe Mungu kwenye hili jambo thats the first thing! Halafu nadhani kuna mazingira flan anajiweka to the extent kwamba wanaume wanamwogopa labda kutokana na fedha zake au elimu yake au kazi yake,may be she is too serious na hajichanganyi na wa2 tofauti tofauti,acjiweke matawi ya juu sana!aishi maisha ya usingle it will help!
 
Ni wako akiwa kwako akitoka nje si wako
Ameibania mpaka amegonga 30 hakijaeleweka? Pole yake inaliwa na nyenyere sasa
Nioe wa miaka 30 wakati kuna watoto wabichi late teens early twenties..
Ajiachie kiutu uzima agawe kidogo itamwondolea na yeye stress then atafute polepole hata wa kushare aliyetulia sio mbaya
Uchoyo ni hasara..
 
Aseme na MUNGU wake juu ya hili na Majibu atayapata tu

Ninacho kiona au amesha wahi kuumizwa au ameona mtu wa karibu yake alieumizwa na imemfanya akose kujiamini


Mungu ana majibu juu ya yote hayo
 
amebana weeee sasa anaachia...baadhi ya wanawake wakisoma na kupata kazi nzuri wanajisikia balaa...mwambie apunguze makeke
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom