Yayo Kwa Yayo Maji Ya Futi na Nyayo

Laiti baadhi ya dada zetu wangefaya preview kwa wanavyovivaa mambo yasingekuwa namna hii! Hili jimama linatengeneza nmnyanyapao wa sehemu fulani.
 
Sipati picha akiwa uchi, aisee wanaume mnavumilia mengi

Haa Ndugu yangu hayasemeki uvumilivu ulikuwa si mdogo, Binafsi yameshanikuta mengi kiyasi naweza kufanya hata sinema wala sitaki kuyahadisia, kuna wengine ukisha kuwa undress tu unaanza kutubia na kujijutia nini kilichonifanya nikaburura uoza kama huu ? hapa ndio jawabu linakujia ni kumbe ulikuwa ni ule mvutio wa nje wa nguo na mahagamasha mengine.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom