Yawezekana hayati Magufuli alikuwa anateua watendaji bila kuwahusisha VP na PM?

Mimi sio mataga ila nakuona mshamba tuu.. Maana ungetuliza kichwa ungeelewa.. Hao unaowashabikia ndio walikuchukua utumwani sasa leo ndio wamegeuka malaika.. Ni mjinga tuu ndio anaweza jiaminisha hivyo
Ukubali ukatae wewe ni Taga kama siyo Sukuma gang
 
All in all tukiacha chuki Mwendazake ametufanyia Mambo mengi yenye tija Kama Taifa...Tukubali hakua mwanasiasa mzuri kwaio nawashauri vijana wa bavicha muache chuki mzee wetu apumzike kwa amani.Tunajua aliwabana Sana mnahasira nyingi poleni basi ,mrudi kwenye kazi yenu Sasa ya kukosoa,kuibua madudu ,tulijenge Taifa.sio huu ujinga mnaofanya Sasa ivi mmepewa nafasi Sasa itumieni.
Kama taifa jiwe ameliboa boa vibaya sana, binafsi natamani hata huko aliko afe tena
 
Hiyo ni conclusion sahihi... Maana kama angekuwa anashauriana nao, naamini Bashiru angesitiliwa, hata mwezi hakumaliza 😂😂
 
Yaani huwa nashangaa mtu kutaja Magufuli bila neno Shetani. Yaani Shetani Magufuli.
 
Diplomasia ni nini, ni kukubali matakwa yote ya wazungu au kusimamia mikakati ya watanzania.. Kama diplomasia ya Tanzania ilikua mbaya.. Ya Marekani inayovamia nchi za watu ipo kundi gani. Chuki zinawafanya mshindwe kufikiri. Hakuna hata balozi moja iliyofungwa halafu mnasema diplomasia ilikua mbaya
Kasome maana ya Diplomasia ni nini, sio kazi yangu kukuelewesha. ni matakwa gani ya wazungu ambayo yalkikuwa yanakataliwa ambayo kipindi cha nyuma yaliruhusiwa? unayeshindwa kufikiri ni wewe uliyekuwa brainwashed na jiwe.

Unatolea mfano Marekani hujui Marekani ndio nchi yenye marafiki wengi zaidi dunia hii na influence kubwa ya kisiasa kutokana na kuwa na marafiki hao
 
Kasome maana ya Diplomasia ni nini, sio kazi yangu kukuelewesha. ni matakwa gani ya wazungu ambayo yalkikuwa yanakataliwa ambayo kipindi cha nyuma yaliruhusiwa? unayeshindwa kufikiri ni wewe uliyekuwa brainwashed na jiwe. Unatolea mfano Marekani hujui Marekani ndio nchi yenye marafiki wengi zaidi dunia hii na influence kubwa ya kisiasa kutokana na kuwa na marafiki hao
Mkuu ni kweli kabisa, unapokuwa na marafiki wengi ndivyo inavyokuwa kimaendeleo ni hii si kwa nchi tu bali hata mtu mmoja mmoja. Kama anabisha basi ajifungie kwenye eneo lake pamoja na mabasi na daladala yake yeye na familia yake tuone kama ATATOKA KIMAENDELEO
 
Nauliza tu kwa wenye uzoefu na mambo ya teuzi

Naelewa kwamba kila zama na kitabu chake lakini naona kama mama anapata kazi ya ziada kuteua tena.

Kazi Iendelee!

Kesho ni Pentecoste.
Lile jamaa lilikuwa halifai afadhali limeondoka.
 
Diplomasia ni nini, ni kukubali matakwa yote ya wazungu au kusimamia mikakati ya watanzania.. Kama diplomasia ya Tanzania ilikua mbaya.

Ya Marekani inayovamia nchi za watu ipo kundi gani. Chuki zinawafanya mshindwe kufikiri. Hakuna hata balozi moja iliyofungwa halafu mnasema diplomasia ilikua mbaya
 
Back
Top Bottom