Yawezekana hayati Magufuli alikuwa anateua watendaji bila kuwahusisha VP na PM?

All in all tukiacha chuki Mwendazake ametufanyia Mambo mengi yenye tija Kama Taifa...Tukubali hakua mwanasiasa mzuri kwaio nawashauri vijana wa bavicha muache chuki mzee wetu apumzike kwa amani.Tunajua aliwabana Sana mnahasira nyingi poleni basi ,mrudi kwenye kazi yenu Sasa ya kukosoa,kuibua madudu ,tulijenge Taifa.sio huu ujinga mnaofanya Sasa ivi mmepewa nafasi Sasa itumieni.
Mkuu umekosea kuniquote au umezamiria?
 
Wizara ya mambo ya nje ni ya kufumuliwa yote kwa kweli
Haikuwa wizara inayojua diplomasia, wao walijikita zaidi katika kutunishana misuli na majirani, matifa ya nje na taasisi za kimataifa
Kasikilize hotuba za Kabudi Bungeni na akiwa anaongea na Waandishi mambo ya Diplomasia ndio utajua kweli hakua mtu sahihi
Mkuu naona Mheshimiwa amesikia ushauri wako na ameufanyia kazi. Wabobezi wa diplomasia wanarudi Wizarani
 
Magufuli alikuwa akiokota majitu Majalalani huko na kuyapa kazi za heshima

Matokeo yake nchi Ikawa na Siasa na Sera ya Mambo ya Nje ya Hovyo na Chafu kama jalala...
Kama alivyo liokota li Samia? Pathetic hujui hata kuongoza familia unakuja kurusha matako jf.
 
Nauliza tu kwa wenye uzoefu na mambo ya teuzi

Naelewa kwamba kila zama na kitabu chake lakini naona kama mama anapata kazi ya ziada kuteua tena...
Magufuli hakuwa ntu wa rongorongo ndio maana hakupenda kushirikisha maamuzi yake watu wa ajabu ajabu
 
Umetafuta nyumba ya kupanga na ukabahatika kuipata, kwa kawaida kabla ya kuingia ni sharti uifanyie usafi ili maisha yaendelee vizuri. Katika kuifanyia usafi nyumba ile kuna mambo kadha yatajitokeza: Aidha, 1 - utatumia maji mengi, sabuni nyingi, madekio mengi na perfume na muda mwingi AU 2 - kinyume chake; maji kidogo, sabuni kiasi, dekio moja, no perfume na muda mchache. Hivyo ni dhahili pasipo shaka kwa nyumba iliyo kugharimu katika kuifanyia usafi ilikuwa chafu sana. Jiongeze.
 
Nauliza tu kwa wenye uzoefu na mambo ya teuzi

Naelewa kwamba kila zama na kitabu chake lakini naona kama mama anapata kazi ya ziada kuteua tena.

Kazi Iendelee!

Kesho ni Pentecoste.
Mbona hao hao wa Mwenda zake bado wako kazini asilimia 90? Mama anacho fanya ni kuwabadilishoa vituo ila wako kazini
 
Magufuli alikuwa akiokota majitu Majalalani huko na kuyapa kazi za heshima

Matokeo yake nchi Ikawa na Siasa na Sera ya Mambo ya Nje ya Hovyo na Chafu kama jalala...
Lakini wako kazini na kama kuna walio pigwa chini na Mama basi ni wachache mno, ila asilimia kubwa wako kazini
 
kwa n wa sasa anausisha pm na vp. kazi hzo ni yy tu labda hadi aitaji yy mwenyw kusaidiwa kwan hao niwasaidizi watakapo itajika na ndio maana wanamajukumu yao yameandikwa kabisa.
 
Diplomasia ni nini, ni kukubali matakwa yote ya wazungu au kusimamia mikakati ya watanzania.. Kama diplomasia ya Tanzania ilikua mbaya.. Ya Marekani inayovamia nchi za watu ipo kundi gani. Chuki zinawafanya mshindwe kufikiri. Hakuna hata balozi moja iliyofungwa halafu mnasema diplomasia ilikua mbaya
Utawala wa Jiwe na diplomasia wapi na wapi mkuu
 
Back
Top Bottom