Yawezekana Dudubaya Yuko Sahihi(?)

666 chata

JF-Expert Member
Mar 14, 2013
1,688
3,815
Moja kati ya vitu vigumu barani Africa nikua mkweli, kusema ukweli ule unao udhania au kuufikiria kwa watu wengine ndio hua tatizo kubwa.

Dudubaya yeye toka moyoni kashajitanabaisha kua hawapendi watu wa clouds media hasa Ruge na watangazaji wengine, anaona hana haja ya kudanganya kwa watu bora aseme ukweli wake ambao probably haukutaka kusikilizwa na watu wengine hasa kwa wakati huu mzito, ukweli wake yeye hampendi marehemu na anaamini marehemu alikua mtu mbaya kwake, hana haja ya kujibadilishia yeye mwenyewe mara tu baada ya mtu yule kufariki, na iko wazi hatukutegemea kama dudu asifurahie majonzi na mambo mabaya ya wana clouds.

kifo haki zoeleki, hata dudu atakufa tu kama walivyo watu wengine wowote, shida yake kubwa amekataa kua mnafiki wa kile anachokiamini.

yawezekana dudubaya akawa sahii zaidi ktk njia mbaya, kuliko wale ambao wako ktk njia hii ya maombelezo ila moyoni mwao wana furahi,,, na watu wa ajabu mfano watu kama wakina mange kimambi walikua wakimtukana sanaa marehemu majuzi juzi tu ila leo wanajificha as if hawakuwai kumsema kwa mabaya, kuna mtu kama afande sele na wengine wengi kama bashite leo wanampost marehemu huku deep down waliwai kujitanabaisha marehemu hakua mtu mzuri kwao.

Tuishi kwa Upendo.
 
yawezekana dudubaya akawa sahii zaidi ktk njia mbaya, kuliko wale ambao wako ktk njia hii ya maombelezo ila moyoni mwao wana furahi,,, na watu wa ajabu mfano watu kama wakina mange kimambi walikua wakimtukana sanaa marehemu majuzi juzi tu ila leo wanajificha as if hawakuwai kumsema kwa mabaya, kuna mtu kama afande sele na wengine wengi kama bashite leo wanampost marehemu huku deep down waliwai kujitanabaisha marehemu hakua mtu mzuri.

osama au gadafi walivyokufa kuna watu walifanya party kubwa, si tunasema kila marehemu anapaswa kuheshimiwa na kustiriwa? ndivyo ambavyo dudu kafanya kwa mtazamo wake... na ndani ndani humo utakuta wasanii wengi tu wamefurahia rohoni, jamani ndio ukweli huu japo ni vigumu kuamini.

sisi tulioamini katika uwezo wa marehemu ni siku mbaya na taarifa mbaya hizi, ila wale ambao hawakuamini ktk marehemu na sasa wanajifanya kuamini ktk yeye ni unafiki mkubwa jamaa, na ndio maana tukaambiwa tupendaneni tu na tusameheane makosa yetu kama Mungu anavyo tusamehe madhambi yetu, Mwenyezi Mungu mkubwa wa yote anaendelea kujionesha kwa mifano ya watu na matukio ya kila siku.

Tuishi kwa Upendo.
Inawezekana, wala Mwakyembe asiwe one sided! amsikilize, siyo ubabe wa madaraka!
 
Moja kati ya vitu vigumu barani Africa nikua mkweli, kusema ukweli ule unao udhania au kuufikiria kwa watu wengine ndio hua tatizo kubwa.

Dudubaya yeye toka moyoni kashajitanabaisha kua hawapendi watu wa clouds media hasa Ruge na watangazaji wengine, anaona hana haja ya kudanganya kwa watu bora aseme ukweli wake ambao probably haukutaka kusikilizwa na watu wengine hasa kwa wakati huu mzito, ukweli wake yeye hampendi marehemu na anaamini marehemu alikua mtu mbaya kwake, hana haja ya kujibadilishia yeye mwenyewe mara tu baada ya mtu yule kufariki, na iko wazi hatukutegemea kama dudu asifurahie majonzi na mambo mabaya ya wana clouds.

kifo haki zoeleki, hata dudu atakufa tu kama walivyo watu wengine wowote, shida yake kubwa amekataa kua mnafiki wa kile anachokiamini.

yawezekana dudubaya akawa sahii zaidi ktk njia mbaya, kuliko wale ambao wako ktk njia hii ya maombelezo ila moyoni mwao wana furahi,,, na watu wa ajabu mfano watu kama wakina mange kimambi walikua wakimtukana sanaa marehemu majuzi juzi tu ila leo wanajificha as if hawakuwai kumsema kwa mabaya, kuna mtu kama afande sele na wengine wengi kama bashite leo wanampost marehemu huku deep down waliwai kujitanabaisha marehemu hakua mtu mzuri kwao.

Tuishi kwa Upendo.
Nimeisikiliza ile Clip... hili liDudujiBaya hakuna sehemu lilipomtaja Ruge...

Jamaa lijanja sana. Wakilipeleka mahakamani litawashinda Big time.
 
Serikali ya Tanzania ina ingilia vitu vya kipuuzi sasa,
Kama marehemu alikuwa mtu mzuri au mbaya sifa zake zinaendelea kuwepo tu za aidha uzuri au ubaya...

Mtu kumtaja marehemu alikuwa mbaya ni halali kwasababu hatujui waliyotendeana huko so hakuna shida.

....Kama vipi serikali wekeni oder ya zip china ili mtupige lock tusizungumze....

RIP Ruge
 
Moja kati ya vitu vigumu barani Africa nikua mkweli, kusema ukweli ule unao udhania au kuufikiria kwa watu wengine ndio hua tatizo kubwa.

Dudubaya yeye toka moyoni kashajitanabaisha kua hawapendi watu wa clouds media hasa Ruge na watangazaji wengine, anaona hana haja ya kudanganya kwa watu bora aseme ukweli wake ambao probably haukutaka kusikilizwa na watu wengine hasa kwa wakati huu mzito, ukweli wake yeye hampendi marehemu na anaamini marehemu alikua mtu mbaya kwake, hana haja ya kujibadilishia yeye mwenyewe mara tu baada ya mtu yule kufariki, na iko wazi hatukutegemea kama dudu asifurahie majonzi na mambo mabaya ya wana clouds.

kifo haki zoeleki, hata dudu atakufa tu kama walivyo watu wengine wowote, shida yake kubwa amekataa kua mnafiki wa kile anachokiamini.

yawezekana dudubaya akawa sahii zaidi ktk njia mbaya, kuliko wale ambao wako ktk njia hii ya maombelezo ila moyoni mwao wana furahi,,, na watu wa ajabu mfano watu kama wakina mange kimambi walikua wakimtukana sanaa marehemu majuzi juzi tu ila leo wanajificha as if hawakuwai kumsema kwa mabaya, kuna mtu kama afande sele na wengine wengi kama bashite leo wanampost marehemu huku deep down waliwai kujitanabaisha marehemu hakua mtu mzuri kwao.

Tuishi kwa Upendo.
Tunajifunza kila leo, nimepata funzo kwenye thread yako asante sana.

R.I.P Ruge

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukisema fulani ni tapeli bila kua na ushahidi, basi umemdhalilisha.

Kama mtu tapeli, ushahidi unao ila huendi mahakamani ili upewe haki yako, badala yake uaishia kumdhihaki kwenye mitandao ya kijamii basi wewe ndie utakaeshughulikiwa!

Ukisema Ruge ni tapeli, tuambie amekutapeli nini na umechukua hatua gani za kisheria.

Kama huwezi just cut the crap and shut your trap!

- KANA -
 
Kuna vitu vingine sio lazima mtu uchangie au u-react.

Binafsi sijaona haja ya kuhangaika kuweka beef na marehemu. He is gone for good. Whether alikuwa ana roho nzuri au mbaya. After all kila mtu ana udhaifu wake.

Kama aliona hana zuri la kumkumbuka nalo, angenyamaza tu. Ni utamaduni wetu kama binadamu mtu anapofariki kumkumbuka kwa wema.

Rest in eternal peace, Ruge Mutahaba.
 
Wewe inatakiwa ujue migogoro iliyopo mashariki ya kati kizazi cha leo kimeikuta waliosababisha ni marehemu.
 
Inawezekana Wewe ukawa mnafiki mzuri !!! Watanzania wanafiki mno mno haiwekani MTU akiwa hair afanye ubara kwa watu ( wasanii) ila akifa tuu ndio apendwe never
Hebu tulia kisha andika vizuri,
Maana comment yako inaumiza macho.
 
Ukisema fulani ni tapeli bila kua na ushahidi, basi umemdhalilisha.

Kama mtu tapeli, ushahidi unao ila huendi mahakamani ili upewe haki yako, badala yake uaishia kumdhihaki kwenye mitandao ya kijamii basi wewe ndie utakaeshughulikiwa!

Ukisema Ruge ni tapeli, tuambie amekutapeli nini na umechukua hatua gani za kisheria.

Kama huwezi just cut the crap and shut your trap!

- KANA -
Hakuna sehemu Dudubaya alipomtaja Ruge...
 
Moja kati ya vitu vigumu barani Africa nikua mkweli, kusema ukweli ule unao udhania au kuufikiria kwa watu wengine ndio hua tatizo kubwa.

Dudubaya yeye toka moyoni kashajitanabaisha kua hawapendi watu wa clouds media hasa Ruge na watangazaji wengine, anaona hana haja ya kudanganya kwa watu bora aseme ukweli wake ambao probably haukutaka kusikilizwa na watu wengine hasa kwa wakati huu mzito, ukweli wake yeye hampendi marehemu na anaamini marehemu alikua mtu mbaya kwake, hana haja ya kujibadilishia yeye mwenyewe mara tu baada ya mtu yule kufariki, na iko wazi hatukutegemea kama dudu asifurahie majonzi na mambo mabaya ya wana clouds.

kifo haki zoeleki, hata dudu atakufa tu kama walivyo watu wengine wowote, shida yake kubwa amekataa kua mnafiki wa kile anachokiamini.

yawezekana dudubaya akawa sahii zaidi ktk njia mbaya, kuliko wale ambao wako ktk njia hii ya maombelezo ila moyoni mwao wana furahi,,, na watu wa ajabu mfano watu kama wakina mange kimambi walikua wakimtukana sanaa marehemu majuzi juzi tu ila leo wanajificha as if hawakuwai kumsema kwa mabaya, kuna mtu kama afande sele na wengine wengi kama bashite leo wanampost marehemu huku deep down waliwai kujitanabaisha marehemu hakua mtu mzuri kwao.

Tuishi kwa Upendo.
Hatusemi "sahii", bali "sahihi"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
34 Reactions
Reply
Back
Top Bottom