666 chata
JF-Expert Member
- Mar 14, 2013
- 1,688
- 3,816
Moja kati ya vitu vigumu barani Africa nikua mkweli, kusema ukweli ule unao udhania au kuufikiria kwa watu wengine ndio hua tatizo kubwa.
Dudubaya yeye toka moyoni kashajitanabaisha kua hawapendi watu wa clouds media hasa Ruge na watangazaji wengine, anaona hana haja ya kudanganya kwa watu bora aseme ukweli wake ambao probably haukutaka kusikilizwa na watu wengine hasa kwa wakati huu mzito, ukweli wake yeye hampendi marehemu na anaamini marehemu alikua mtu mbaya kwake, hana haja ya kujibadilishia yeye mwenyewe mara tu baada ya mtu yule kufariki, na iko wazi hatukutegemea kama dudu asifurahie majonzi na mambo mabaya ya wana clouds.
kifo haki zoeleki, hata dudu atakufa tu kama walivyo watu wengine wowote, shida yake kubwa amekataa kua mnafiki wa kile anachokiamini.
yawezekana dudubaya akawa sahii zaidi ktk njia mbaya, kuliko wale ambao wako ktk njia hii ya maombelezo ila moyoni mwao wana furahi,,, na watu wa ajabu mfano watu kama wakina mange kimambi walikua wakimtukana sanaa marehemu majuzi juzi tu ila leo wanajificha as if hawakuwai kumsema kwa mabaya, kuna mtu kama afande sele na wengine wengi kama bashite leo wanampost marehemu huku deep down waliwai kujitanabaisha marehemu hakua mtu mzuri kwao.
Tuishi kwa Upendo.