Yawezekana Dr. Slaa alikuwa sahihi

FUSO

JF-Expert Member
Nov 19, 2010
31,635
37,846
Moja kwa moja kwenye mada, nimeuona mtiti wa Maalim, nchi imetikisika ki siasa, ACT inakwenda kuchukua dola Zanzibar.....hiyo ni impact ya Maalim...ameshinda vita.

Pia nimekubali leo kwamba Dr.Slaa alikuwa sahihi kwamba ujio wa Lowassa CDM ulikuwa ni Liability yaani kwa kiswahili Mzigo...

CDM wamejifunza sana na kisiasa kufanya kosa ni kujifunza ili ukomae, huwezi kukomaa bila kufanya makosa ya kiufundi na kuyasahihisha....Dr. alikuwa sahihi kwamba Lowassa alikuwa mzigo .... CDM wameubebaa weee umeshindikana.

Hongera sana Zitto Kabwe, sasa kuna turn kubwa mno kwenye siasa za upinzani hapa Tanzania.

CDM you still have a big chance in Tanzania main land...kinachotakiwa ni kujitoa na kuacha uwoga, hana ubavu wa kuwafumua wote...

Kwa Upande mwingine naona CCM pamoja na hujuma zote bado wakiwa kwenye kona tena kona kali.. wamebananishwa mno na bila usaidizi dola wao ni weupe pee..

Naiona nuru mpya 2020 kwa wapinzani.....

Naiona nyota ya Lissu 2020 iking'aa

Alamsiki....
 
bwana weye ni marufuku kuota ndoto za kutisha hasa hizi za kuwaza CCM kutoka madarakani
 
...
... Lissu + Maalim +Zito =New Nation

LMZ formula One
hii chemical formula iliyotengenezwa sasa hivi ni hatari mno...

Ni kweli kwamba siasa ni Sayansi aisee...watu wamebaki midomo wazi kama wamefumaniwa....
 
Embu nipe mwanga itakuaje maalim akiporwa tena ushindi,,,?

Manake kila mwaka maalim anashinda lkn hapewi...!!

Na waafidhina wa zenj washaapa kutikumpa nchi maalim,,
wanasema bora zenj iwe bahari ya damu kuliko kumpa nchi maalim,,,akina ramadhani mapuli,all haji mwinyi,jecha na wengineo ambao ni maafidhina,,

Moja kwa moja kwenye mada, nimeuona mtiti wa Maalim, nchi imetikisika ki siasa, ACT inakwenda kuchukua dola Zanzibar.....hiyo ni impact ya Maalim...ameshinda vita.

Pia nimekubali leo kwamba Dr.Slaa alikuwa sahihi kwamba ujio wa Lowassa CDM ulikuwa ni Liability yaani kwa kiswahili Mzigo...

CDM wamejifunza sana na kisiasa kufanya kosa ni kujifunza ili ukomae, huwezi kukomaa bila kufanya makosa ya kiufundi na kuyasahihisha....Dr. alikuwa sahihi kwamba Lowassa alikuwa mzigo .... CDM wameubebaa weee umeshindikana.

Hongera sana Zitto Kwabwe, sasa kuna turn kubwa mno kwenye siasa za upinzani hapa Tanzania.

CDM you still have a big chance in Tanzania main land...kinachotakiwa ni kujitoa na kuacha uwoga, hana ubavu wa kuwafumua wote...

Kwa Upande mwingine naona CCM pamoja na hujuma zote bado wakiwa kwenye kona tena kona kali.. wamebananishwa mno na bila usaidizi dola wao ni weupe pee..

Naiona nuru mpya 2020 kwa wapinzani.....

Naiona nyota ya Lissu 2020 iking'aa

Alamsiki....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hamna kitu hapo swala la muda tu maalim atairudia cuf yake maalim km kuhama angerudi ccm kwenye chama chake cha ujana huko act amenda kwa muda

God first
 
hii chemical formula iliyotengenezwa sasa hivi ni hatari mno...

Ni kweli kwamba siasa ni Sayansi aisee...watu wamebaki midomo wazi kama wamefumaniwa....
.....
.....Mkuu wacha tu niko maabala huu mchanganyiko ni Sayansi nyingine
 
  • Thanks
Reactions: BAK
2020 yaliyotokea 2015 Zenj yatajirudia tena kwa kishindo kikubwa sana. Maccm yajiandae kukabidhi Dola visiwani yatake yasitake na uhuni wa fisadi kikwete kufuta matokeo ya uchaguzi 2020 hautakubalika.

Moja kwa moja kwenye mada, nimeuona mtiti wa Maalim, nchi imetikisika ki siasa, ACT inakwenda kuchukua dola Zanzibar.....hiyo ni impact ya Maalim...ameshinda vita.

Pia nimekubali leo kwamba Dr.Slaa alikuwa sahihi kwamba ujio wa Lowassa CDM ulikuwa ni Liability yaani kwa kiswahili Mzigo...

CDM wamejifunza sana na kisiasa kufanya kosa ni kujifunza ili ukomae, huwezi kukomaa bila kufanya makosa ya kiufundi na kuyasahihisha....Dr. alikuwa sahihi kwamba Lowassa alikuwa mzigo .... CDM wameubebaa weee umeshindikana.

Hongera sana Zitto Kwabwe, sasa kuna turn kubwa mno kwenye siasa za upinzani hapa Tanzania.

CDM you still have a big chance in Tanzania main land...kinachotakiwa ni kujitoa na kuacha uwoga, hana ubavu wa kuwafumua wote...

Kwa Upande mwingine naona CCM pamoja na hujuma zote bado wakiwa kwenye kona tena kona kali.. wamebananishwa mno na bila usaidizi dola wao ni weupe pee..

Naiona nuru mpya 2020 kwa wapinzani.....

Naiona nyota ya Lissu 2020 iking'aa

Alamsiki....
 
Unadhan umeandika jipya basi? Hizi analysis zipo humu hasa kuelekea 2010 na 2015 na hakuna la mno.Mengi yataandikwa ILA nakuhakikishia 2020 ndo mgumu zaid kwa opposition hasa mainland
 
....
.... Mkuu unaota
 
CCM washikwa na butwaaaa, genge la wahuni la lumumba wapo hoi
mbaya zaidi wanakula dili hadi kwa di pipi na waendesha mashitaka wa mahakama ... yaani ile hukumu ya kina mbowe ni aibu kubwa saana kwa Taifa.

Kama umesoma sayansi ya siasa chama kinachotumia mbinu hizi unajua jibu lake.
 
Unadhan umeandika jipya basi? Hizi analysis zipo humu hasa kuelekea 2010 na 2015 na hakuna la mno.Mengi yataandikwa ILA nakuhakikishia 2020 ndo mgumu zaid kwa opposition hasa mainland
refer to my points... hana uwezo wa kuwafumua wote...cha msingi ni kujitoa kufa ama kupona..simple.
 
Hamna kitu hapo swala la muda tu maalim atairudia cuf yake maalim km kuhama angerudi ccm kwenye chama chake cha ujana huko act amenda kwa muda

God first
Maalimu si mbumbumbu kama huyo prof wenu mnayemgeuza kama kitufe.
 
Wenye Imani kuwa ACT inaenda kuchukua dola ZNZ, mjipange kisaikolojia. I MEAN IT.
 
Back
Top Bottom