YAWEZEKANA CCM KUTOKA MADARAKANI KWELI

Jun 12, 2017
54
9
Ndugu zangu kunajambo au hoja naomba tulijadili ivi kwa mwendo huu upinzani unaweza kuchukua madaraka kweli coz ccm wana ng'ata na kupuliza akija huyu anang'ata akija huyu anapuliza
 
CCM kuondoka madarakani inawezekana, lakini lazima kuwe na chama cha upinzani imara chenye wanasiasa serious. Kwa sasa hivi na miaka 50 (hamsini)ijayo bado sana CCM itabaki madarakani. hakuna chama cha siasa kilicho tayari kuchukua dola, ukiachana tu na kuwa imara na wanasiasa wanaojitambua.
 
hiyo kweli mkuu
 
CCM hufanya uchakachuaji hata uje na chama chenye wanachama milion 40 huwezi kushinda kwani wao huiba kura tu wanatawala kwa mbinu za uchakachuaji tu.
 
yawezekana kuwa hivyo but hujafanya uchunguz wakutosha coz ukiangalia ccm wanachama wake wako makini kama ni kupiga kura wanaenda kwa wingi.
 
ili kuwatoa madarakani CCM ni lazima sheria ya m 200 itizamwe upya kwani CCM hushinda kwa kuiba kura kwa miaka ya karibuni wananchi hawachagui CCM bali uchakachuaji ndiyo umewaweka madarakani tu.
 
Ndugu zangu kunajambo au hoja naomba tulijadili ivi kwa mwendo huu upinzani unaweza kuchukua madaraka kweli coz ccm wana ng'ata na kupuliza akija huyu anang'ata akija huyu anapuliza
chadema kinaongoza kwa viongozi wenye elimu na mapesa yakutosha ila wanachama ndo tatizo au mnasemaje hapo
 
CCM haitoki kwa kuwa inatekeleza ilani na ahadi zake...wako wachafu wachache walitaka kuiharibu CCM na Taifa kwa ujumla lakini Team Makini ya Maadili chini ya Mzee Mangula ililiona hilo na wameshukiwa kama Mwewe!

Upinzani umesharudi nyuma miaka 20 baada ya kumchukua fisadi na kucheza kamari ya kisiasa iliyoshindwa.
 
ili kuwatoa madarakani CCM ni lazima sheria ya m 200 itizamwe upya kwani CCM hushinda kwa kuiba kura kwa miaka ya karibuni wananchi hawachagui CCM bali uchakachuaji ndiyo umewaweka madarakani tu.
CCM hufanya uchakachuaji hata uje na chama chenye wanachama milion 40 huwezi kushinda kwani wao huiba kura tu wanatawala kwa mbinu za uchakachuaji tu.
Wacha tu CCM wachakachue kama wanaona wapinzani wanataka kuchukua dola maana hakuna kiongozi au mwanachama wa upinzani aliye serious na maendeleo ya tanzania. Wote ni porojo, matusi, unafiki na ulimbukeni tu.
 
CCM haitoki kwa kuwa inatekeleza ilani na ahadi zake...wako wachafu wachache walitaka kuiharibu CCM na Taifa kwa ujumla lakini Team Makini ya Maadili chini ya Mzee Mangula ililiona hilo na wameshukiwa kama Mwewe!

Upinzani umesharudi nyuma miaka 20 baada ya kumchukua fisadi na kucheza kamari ya kisiasa iliyoshindwa.
yap maoni haya yanaendana na nilivyokua nawaza mm so big up mkuu pamoja sana
 
CCM haitoki kwa kuwa inatekeleza ilani na ahadi zake...wako wachafu wachache walitaka kuiharibu CCM na Taifa kwa ujumla lakini Team Makini ya Maadili chini ya Mzee Mangula ililiona hilo na wameshukiwa kama Mwewe!

Upinzani umesharudi nyuma miaka 20 baada ya kumchukua fisadi na kucheza kamari ya kisiasa iliyoshindwa.
Richmond ni ya kikwete hata IPTL ufisadi mnao huko huko CCM sema wewe hujitambui umekariri propaganda za miaka ilee..
 
Wacha tu CCM wachakachue kama wanaona wapinzani wanataka kuchukua dola maana hakuna kiongozi au mwanachama wa upinzani aliye serious na maendeleo ya tanzania. Wote ni porojo, matusi, unafiki na ulimbukeni tu.
Ulimbukeni upo CCM wabunge wa CCM hupitisha mikataba kwa ndiyooo kule Dodoma Dili zote zipo CCM sasa watanzania wanataka mikataba mapema wekeni mezani mikataba ya ununuzi ndege kwa cash, ujenzi wa Airport ya chato, ujenzi wa reli, ununuzi wa kivuko cha Dar kwenda Bagamoyo.
 
Yote hayo yapo mezani. Labda mseme tu hamfahamu meza iko wapi? au mlitaka yakafanyike uwanja wa taifa?
 
mkuu kila nikiangalia upinzani hawako tayari kuongoza nchi ila waendelee tu kupiga porojo nyingi sana zinasaidia kufanya baadhi ya mambo kua sawa serikalini, sioni mtu kutoka chama chochote nje ya CCM kutoa raisi wa nchi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom