Yatakiwa tuwe makini tunapo weka tangazo humu ndani....

herbsman

Member
Apr 29, 2011
81
57
Nahitaji kujua zaidi ya aliyeweka tangazo la kazi NHIF coz amefanya ku paste ilhali NHIF hawajatangaz hiz nafasi. nashindwa kuhukumu mapema lakini jaribu kutizama deadline ya hizo vacancy.yatakiwa tuwe makini sana kwa kuandika vitu vilivyofanyiwa utafiti kuliko kukulupuka na kuandika tu ilmladi ionekane na wewe umeandika.Wakati mwingine inatakiwa tukomae kiakili sababu si lazima mtu u post kitu kama huna hoja wala kitu sahihi kutuma.JE una hakika NHIF WAMETANGAZA NAFASI KWA MFUMO ULIO POST WEWE?
 
Back
Top Bottom