Elections 2010 YATAKAYOTOKEA BAADA YA SLAA(PhD) KUAPISHWA

Mzito Kabwela

JF-Expert Member
Nov 28, 2009
18,857
7,615
Sina shaka yoyote kwamba ukombozi wa Tanzania umewadia.
Daktari wa filosofia mwenye shahada ya UZAMIVU, Dakta Slaa ataapishwa kuwa Rais. Haya ndiyo ninayoyatarajia kutokea wiki chache tu baada ya kula kiapo.

1. Ansbert Ngurumo atakuwa mkurugenzi wa mawasiliano Ikulu (sina hakika kama jina la ofisi litabaki hivyo hivyo lakini majukumu ya Msaliti Salva Rweyemamu yatahamia kwa Ngurumo)

2. TIDO Mhando atafukuzwa kazi kama sio kustaafishwa

3. Sina hakika kama kibarua cha afande Shimbo kitaendelea kuwepo au kitaota nyasi

4. Lowassa Kortini

5. Rostam atafilisiwa mali zake zote

6. BWM pamoja na Jakaya wataondolewa kinga ya kutoshtakiwa na bunge hivyo kwenda mahakamani

7. Mikakati ya Mafuriko ya maendeleo kwa watanzania itaanza kutekelezwa mara moja

8.......................

9.............................

10..............................
 
Nasubir sheikh yayha aje kukutasfiria ndoto yako nahisi tata kuelezea
 
8. Kundi la kina YONA,MRAMBA, CHENGE & EPA wote mahakamani na hukumu itatolewa

9. Issue ya RADA itafanyiwa kazi ipasavyo.

10.Wanunuzi wa Ndege ya Rais (TZAIRFORCE ONE) watashughulikiwa ipasavyo

11. ...............................................

12. ..............................................

13. .................................................
 
8. Mchakato wa kisheria wa kuandika katiba mpya utaanza mara moja. Katiba shirikishi siyo ile ya wabunge tu ambayo ni danganya toto tu.

9. Viongozi wote watakuwa wametangaza mali zao kabla ya kuingia ofisini na kutakiwa kutoa taarifa zao kila mwaka au kupoteza nyadhifa zao

10. Ahadi ya elimu na afya bure kutekelezwa mara moja na huku misamaha ya kodi kwa wachimbaji wakubwa kufutwa mara moja.

Huu ndio urithi wa kuachia wajukuu zetu............................Mungu ibariki Tanzania........ Mungu iibariki Afrika..................................
 
ulirudi home ukakuta nguo zako zote zimefuliwa,,,, ukaamua kulala naked,, ndio ukaota ndoto hii....
 
-rostam atajipiga risasi mwenyewe...!

-manji atajinyonga....!

-mzee wa visenti kujisalimisha....!

-kinana break ya kwanza mogadishu......!!!
 
wakuu, ndoto hii naona si nzuri sana kwani linaonekana kuelekea kwenye kulipizana kisasi.
naamini dr slaa hatakuwa vile kwa sababu ni mpenda haki na atatumia nguvu ya umma kutekeleza majukumu yake.

namuombea afya njema ili aweze kutekeleza vema wajibu wake.
 
Sina shaka yoyote kwamba ukombozi wa Tanzania umewadia.
Daktari wa filosofia mwenye shahada ya UZAMIVU, Dakta Slaa ataapishwa kuwa Rais. Haya ndiyo ninayoyatarajia kutokea wiki chache tu baada ya kula kiapo.

1. Ansbert Ngurumo atakuwa mkurugenzi wa mawasiliano Ikulu (sina hakika kama jina la ofisi litabaki hivyo hivyo lakini majukumu ya Msaliti Salva Rweyemamu yatahamia kwa Ngurumo)

2. TIDO Mhando atafukuzwa kazi kama sio kustaafishwa

3. Sina hakika kama kibarua cha afande Shimbo kitaendelea kuwepo au kitaota nyasi

4. Lowassa Kortini

5. Rostam atafilisiwa mali zake zote

6. BWM pamoja na Jakaya wataondolewa kinga ya kutoshtakiwa na bunge hivyo kwenda mahakamani

7. Mikakati ya Mafuriko ya maendeleo kwa watanzania itaanza kutekelezwa mara moja

8.......................

9.............................

10..............................

Not bad to have a wishful thinking...But you should prepare for the worst If the Reality becomes the opposite.. He wont make it for presidency ..Not now!!:mmph:
 
usishangae anaweza kuona hakuna haja ya kubadilisha katiba kwani kasoro zilizopo zinaonwa na upinzani tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom