yashanikuta.

fundiaminy

JF-Expert Member
Jun 4, 2009
355
51
kwa kweli masistaduu siwaelewi.Jana kaniambia ana hamu sana ya kuku,nami kwa heshima,japo nabana matumizi nilimpeka kwa hoteli.Sijui ni uoga,ama kushiba ama ugeti kali??,sistaduu alionja paja tu na kuku mzima kamuacha.hivi ningebeba sehemu ilobakii ama vipi??
 
mh..sidhani kama nimekuelewa....

labda alikuwa under stress, au ulikuwa ukimwangalia sana,,, sas abaada ya hapo ulifanya nini?
 
Asa yamekukuta yepi?

Ila wewe naye! Yaani ukaenda kumnunulia mwenzio kuku mzimaa!! hata kama ana hamu ya kuku sidhani kama ni mroho namna hiyo!!.

Ila usisikitike sana kwani ni kilanga chako kujitia kumpeleka mtoto hotelini klwa nini usingemnunulia chips kuku kule kwenye chipsi vumbi?- Joke

Pole lakini
 
kwa kweli masistaduu siwaelewi.Jana kaniambia ana hamu sana ya kuku,nami kwa heshima,japo nabana matumizi nilimpeka kwa hoteli.Sijui ni uoga,ama kushiba ama ugeti kali??,sistaduu alionja paja tu na kuku mzima kamuacha.hivi ningebeba sehemu ilobakii ama vipi??

...mnh, waswahili kwa mafumbo, utadhani kweli panazungumziwa chakula...
(spin) ha ha haa :D
 
Labda alikuwa hajawahi kwenda hotelini kula "kuku".... inabidi upata muda wa nyongeza kumfundisha na kumwelimishja kuwa hotelini na nyumbani nisawa tu darling! yasingekukuta hayo yote... but ndio ukubwa huo
 
Huyo ndio sistadu,masista du huwa wanajifanya hawali sana mbele ya wapenzi au mbele ya watu. Utakuta akipewa kuku mzima ndio hivyo yy anakula kipaja tu, akipewa plate ya chakula anakula robo tu ya sahani, kinywaji ndio usiseme, akipewa kama soda ataonja na kuacha soda ikiwa ikiwa imejaa kwenye chupa. Kwa kweli masista du wana mapozi ya jinsi hiyo.
 
hehehehe mzee ungejixpress alitaka umuagizie na mayai yake kisha unajixpress
 
Dah!!washkaji mmenipa inavyo stahili @least kesho ntajua nimtoe kivipi lakini babu unaesema sizungumzii juu ya kuku,hiyo yako mpya.hebu nipe hahahahaha.
 
kwa kweli masistaduu siwaelewi.Jana kaniambia ana hamu sana ya kuku,nami kwa heshima,japo nabana matumizi nilimpeka kwa hoteli.Sijui ni uoga,ama kushiba ama ugeti kali??,sistaduu alionja paja tu na kuku mzima kamuacha.hivi ningebeba sehemu ilobakii ama vipi??

Ungeomba wakufungie ubebe..aibu ya nini na chakula umenunua kwa pesa yako?
Next time ask for a DOGGY BAG!
 
haha.woman of substance kwani 2likuwa pa1 ama vp.hapo pa kubeba ndio sikutaka kumalizia lakini kwa kweli niliitisha mfuko na kubeba sehemu iliyobaki na cha kushangaza 2lipofika home sistaduu sini njaa ilimrudiaa!!hahahaha.wa2 jamani!!
 
huyo duu alikuwa analeta pozi mbele ya watu ila njaa ilikuwa inamuuma hana lolote ndo zao hao
 
kazi kweli kweli,alipofika nyumbani njaa inauma akala,sasa huko hotelini nini kilisababisha asile? hukumwuliza hilo swali?
 
Nini kilisababisha ashindwe kula huko hotelini?
Pengine alitaka kujua jamaa atafanyeje baada ya kumwacha kuku yule karibu mzima. Pengine alitaka kuoneshwa upendo zaidi kwa kubebewa mlo na jamaa. Kina dada wanawaza kivyao tu na wanatenda kivyao. Anapokuambia "no" ndo anakuambia "yes". Makubwa!
 
kwa kweli masistaduu siwaelewi.Jana kaniambia ana hamu sana ya kuku,nami kwa heshima,japo nabana matumizi nilimpeka kwa hoteli.Sijui ni uoga,ama kushiba ama ugeti kali??,sistaduu alionja paja tu na kuku mzima kamuacha.hivi ningebeba sehemu ilobakii ama vipi??

Kumbe na wewe ni braza meni sasa uliona haibu kumaliza tena,ungekandamiza tu!!!
 
haha.Kilinzibar,si unajua tena ile kuitisha mfuko tayari mabrazameni wengine hawangeweza?kwa hilo ungenipongeza mbali na mimacho ya wahudumu walionikodolea utazani mbwa kapokonywa mnofu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom