Yasemekana karibu watu 300 hawana makazi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Yasemekana karibu watu 300 hawana makazi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by MUREFU, Dec 22, 2011.

 1. MUREFU

  MUREFU JF-Expert Member

  #1
  Dec 22, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,230
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  Kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha dar hali inazid kuwa mbaya huenda hali ya makaz ya watu kuendelea kualibiwa vibaya hasa wanaoish mabonden. Kwan mpaka sasa inasemekana watu zaid au inakaribia 300 hawana makaz ya kuishi. Hivi tanzania kunamfuko wowote wa maafa nikimaanisha kuna fungu lolote la maafa kama haya. Au ndo kila siku mpaka yatokee ndo tunajifunza kupitia kuko. Kuna nchi kama THAILAND na PHILIPINO mafuliko kwao ni kama sehemu ya kawaida ila huwa wanachukuwa tahathar kupitia selikar zao je sisi hapa nini kinachoendelea au ndo hyo HEDICOPTA MOJA ndo inaokoa
   
 2. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #2
  Dec 22, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  hakuna helcopter inayookoa
   
 3. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #3
  Dec 22, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  "Yasemekana karibu watu 300 hawana makazi" .... Pia inasemekana Rais ametoa agizo ... washughulikiwe haraka iwezekanavyo ... na agizo la Rais ...ni sheria !!
   
 4. K

  Kicheruka JF-Expert Member

  #4
  Dec 22, 2011
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 791
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hakuna helcopter inayookoa, ipo inayozunguka kuangalia na kuhesabu walio juu ya paa
   
Loading...