Dotto C. Rangimoto
JF-Expert Member
- Nov 22, 2012
- 1,985
- 1,284
GAZETI LA MSETO LAZUILIWA LISISAMBAZWE.
Gazeti la MSETO lazuiliwa lisisambazwe, hili ni Gazeti pacha na Gazeti la MwanaHalisi. Sababu za kuzuiwa kusambazwa ni kutokana na maudhui ya habari ilizobeba.
Hiyo picha haihusiane na habari zilizomo katika toleo lilozuiwa kusambazwa.