Yapi ya msingi kabla ya kununua gari?

Kwangu mimi:
1. Performance, gari iweze kwenda mwendo mrefu bila kuchoka wala kuchemsha.
2. Iwe manual
3. Diesel Engine is an added advantage.
4. Iwe SUV
5. Iwe na uwezo wa kubeba mizigo mizito.
6. Iwe na kuanzia na CC 4000.

kudadadeki, heshima yako mkuu!
 
Watu tynaogopa ukubwa wa engine tu (cc) wakati kiuhalisia haina uhusiano wa moja kwa moja na ulaji wa mafuta mf mimi nina nissan patrol inakula 1ltr kwa 7-8 km na ni diesel na pia salon with 3s engine inakula 1ltr to 10-12km petrol.

Engine na body kubwa inafaida nyingi sana na ni multipurpose tofauti na gari ndogo.

Tofauti kubwa na labda ndo issue ni maintainance and repair maana serive ya nissan patrol uandae walau 300,000 wakati carina 100,000 inamaliza lakin pia service moja ya diesle eng inakupa mileage nyingi tofauti na petrol
 
Back
Top Bottom